Tech Solution Dakika 3.

Tech Solution Dakika 3.

Seba7

New Member
Joined
Nov 15, 2018
Posts
4
Reaction score
5
Ebwana vipi Kupitia YouTube nimeamua kufungua kaChannel kangu kanachohusu Tech....yaan matatizo yote ya Technology kuhusu simu yako na Web kiujumla.
.
Leo nataka niweke video 5 za Mwanzo lakini nahitaji mchango wenu katika hili wana JF...naomba uniandikie hapo chini nianze na Solution ya Ku-Solve tatizo gani katika simu yako nami nitafanya kabla ya saa 6 Mchana endapo mtanitajia idea nyingi zaidi nitazidi kuzifanya kadri ya muda unavyokwenda.
.
Asanteni

Seba7
 
kuondoa Icloud kwenye iphone5 kwenda juu
Asante sana ndugu,hili ntalifanyia kazi utapata link kwa Thread hii punde ntakapo-Post...Naomba ualike marafiki kwa kuwa mchango wenu unahitajika...Shukran
 
Back
Top Bottom