Tech Solution Ushauri wa haraka

Seba7

New Member
Nov 15, 2018
4
5
Ebwana vipi Kupitia YouTube nimeamua kufungua kaChannel kangu kanachohusu Tech....yaan matatizo yote ya Technology kuhusu simu yako na Web kiujumla.
.
Leo nataka niweke video 5 za Mwanzo lakini nahitaji mchango wenu katika hili wana JF...naomba uniandikie hapo chini nianze na Solution ya Ku-Solve tatizo gani katika simu yako nami nitafanya kabla ya saa 6 Mchana endapo mtanitajia idea nyingi zaidi nitazidi kuzifanya kadri ya muda unavyokwenda.
.
Asanteni

Seba7
 
Back
Top Bottom