Kazi yao ni kujenga makanisa waumini wajihifadhi humo ndani wasipigwe na mvua wala jua sio kujenga hospital na shule hiyo sio kazi yao ni kazi ya serikali kwa 100%.
Wanasimamia waumin, ambao wanalipa Kodi, na wanaathiliwa maisha Yao na Sera dhalimu kama za, CCM, huwezi ukahubili Mambo yq kiroho, kwa watu, ambao miili Yao, inadhuliwa na siasa za, kijwmbazi, harafu ukajifanya huoni!Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea?
Una wivu na chuki za kijinga sana. Unashindwa kuwa na akili ndogo tu ya kutambua hao ni viongozi wa kidini, na hivyo wanawakilisha makundi ya waumini wao.Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea?
Wewe ni mkomunisti ?TEC ni Taasisi pekee iliyo na viongozi wenye maono ya nchi na sio chawa wa kujipendekeza. Wanaoishtumu TEC hawana hoja ya kupingana nao, ila kutetea na kutaka kuuendeleza usułtani wa chama kile. Ukweli wake unawatishia sana mafisadi na madalali wa nchi hii! Ukisikia kelele gizani ujue jiwe limewapata🫢🫢🫢
Usomi wa kuzibuana mitaro?Bora hao tec Ni wasomi watupu kuliko lile Baraza fln HV ambako wato Ni weupe kichwani
Uwezo wa kuzibuana mitaro? ..Wana uwezo mkubwa kichwani
.....zamani walitulia mlidhani hawana akili sasa hivi mnatoa kila aina y milioNafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea?
Mbona hata mnaozibuana mitaro kwa baraka za Pope mnajulikana! ..Wahitimu wa madrassa utawajua tu kwa huja zao zisizo na mashiko
Ila kuzibuana mitaro yenu kwa baraka za Pope siyo haya! ..Hakuna haya ambayo inazidi ile ya kuwaua au kujilipua kwenye makundi ya watu, kwa jina la Allah. Hiyo ni kufuru kubwa mbele za Mungu wa amani.
Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea?
Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea?
Hujui kubwa mudi wenu alikuwa anazubuliwa?Mbona hata mnaozibuana mitaro kwa baraka za Pope mnajulikana! ..
Swali hili ungemuuliza Magufuli aliyekuwa akiongozana na viongozi wa dini karibu kila tukio la kitaifa. Sijuhi tunafeli wapi, viongozi wa dini wakisifia serikali hata pale ilipofanya madudu si kosa, taabu inakuja pale wapokosoa au kutoa maoni yanayoenda kinyume na mtizamo au maamzi ya serikali.Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endelea?
Nafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".
Hivi hili Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) ni chombo cha kidini au ni chama cha kisiasa kisicho rasmi?
Kwa nini mijadala mingi na mambo mengi ya kisiasa wanakuwa nayo kimbelembele kuyazungumzia na kuyatolea matamko na waraka lakini mambo yao ya kidini yanayo husisha masuala kadha wa kadha yenye mikanganyiko wanaficha vichwa ndani ya mashuka na kukaa kimya kama hawajui chochote kile?
Kwani nini TEC isisajiliwe rasmi na kujulikana chama cha kisiasa official kuliko haya maigizo yanayo endele
Na hufanya hivyo tu pale ambapo Raia namba moja akiwa ni mvaa kobasiNafungua maswali na uzi wangu kwa nukuu hii" KANISA KATOLIKI NA SIASA YA TANZANIA".