Teamo
JF-Expert Member
- Jan 9, 2009
- 12,272
- 1,035
WAPENDWA,
najitokeza hapa kuwaalika kuitizama mechi ya MEXICO VS FRANCE saa tatu unusu usiku ambapo sisi fans wa jf tumeomba na kukubaliwa kuichambua mechi hiyo kabla na baada ya mechi!
tumeamua kufanya hivyo KWA MAKUSUDI KABISA maanake kwa sasa inaonekana kila mtu ni mtaalamu wa kuchambua mpira!....hakuna tena dk liki wala shafii dauda wala mziray!yoyote yule provided anakuwa fan wa kuperuuz mitandao!
karibuni sana wakuu,matuona tukiuza sura na kuosha vinywa ile sana!jf kama kawaida tutairusha na kuipaisha inavyostahili!
tafadhali sana fatuma wa chawote usinibipu kabisa,eliza wa zero-pub makao mapya naomba uache kabisa kutuma meseji zako za mapenzi......!
chrispin na kaizer tafadhali tukutane hongera bar tutoe nishai kabla ya kazi kuanza