Teamo, Chrispin na Kaizer NDANI YA TBC1

Teamo

JF-Expert Member
Jan 9, 2009
12,272
1,034
WAPENDWA,
najitokeza hapa kuwaalika kuitizama mechi ya MEXICO VS FRANCE saa tatu unusu usiku ambapo sisi fans wa jf tumeomba na kukubaliwa kuichambua mechi hiyo kabla na baada ya mechi!

tumeamua kufanya hivyo KWA MAKUSUDI KABISA maanake kwa sasa inaonekana kila mtu ni mtaalamu wa kuchambua mpira!....hakuna tena dk liki wala shafii dauda wala mziray!yoyote yule provided anakuwa fan wa kuperuuz mitandao!

karibuni sana wakuu,matuona tukiuza sura na kuosha vinywa ile sana!jf kama kawaida tutairusha na kuipaisha inavyostahili!

tafadhali sana fatuma wa chawote usinibipu kabisa,eliza wa zero-pub makao mapya naomba uache kabisa kutuma meseji zako za mapenzi......!

chrispin na kaizer tafadhali tukutane hongera bar tutoe nishai kabla ya kazi kuanza
 
Nipo gado, vipi tutinge na MAVUVUZELA au filimbi?

Mstue Kaizer asijisahau akaja na valuu studio.
 
There are currently 4 users browsing this thread. (3 members and 1 guests)

Nyie hapo tunayakaribisha mawazo yenu tafadhali.... Hii kazi ya leo itanifanya nisipige mtungi leo LOL!
 
WAPENDWA,
hakuna tena dk liki wala shafii dauda wala mziray!yoyote yule provided anakuwa fan wa kuperuuz mitandao![/B][/U]

karibuni sana wakuu,mtuona tukiuza sura na kuosha vinywa ile sana!jf kama kawaida tutairusha na kuipaisha inavyostahili!
chrispin na kaizer tafadhali tukutane hongera bar tutoe nishai kabla ya kazi kuanza

mbavu zangu,kweli ishi uone!!tunawangoja kama kweli
 
Teamo umesema kitu ambacho hata mie nilikisema jana wakati natizama mechi ya Bafana Bafana na Uruguay. Yaani ni kweli siku hizi kila mtu anajua kulichambua soka la kombe la dunia yaani hata mie ambaye kombe hili la mwaka huu ndio limeniconvince nianze kuuelewa mpira, nitaweza. Si ni kiasi tu cha kujisemesha....Bafana Bafana wanaonekana kuzidiwa kete yaani wanacheza kwa speed ndogo ambayo hailingani na Uruguay kiasi kwamba ni Tshabalala peke yake anayeonekana kukosa wamaliziaji kule golini. Ha ha ha ha ngoja nianze kucla tizi mitandaoni na kukremu majina ya wachezaji.

Hivi kombe la Wanawake linaanza lini vile..........nitume application TBC1 niwe Commentator lol

Wapwaz nitaadeku usiku .....you beta be zea
 
Hapa lazima uingie na valuu tatu kichwani....ma- ladies wanaruhusiwa kujiunga na nyie ??
 
KUNA kitu nashindwa kuelewa,mbona team za Africa performance wise zinakwenda backwise,yaani ipambanishe team ya afrika na timu yoyote nje ya africa,no matter how good the african team is,itafungwa tu-tazama cameroun-tazama south africa.ITS TIME sisi waafrika tutafute mchezo mwingine eg RIADHA maana football imetushinda
 
That's nice wait to here from you as part of jf members.you represent us .W'll send our challenges theafter.
 
Mhhhh..... Mmasai kaingia Disco na rubega!
Hahahahaha! Kama unajua kulisakata rumba, vazi si hoja LOL!

mbavu zangu,kweli ishi uone!!tunawangoja kama kweli
Usiwe na moyo mgumu wa kuamini kama Thomaso. Utakayemuona amezaa mawani ili kuficha makengeza yake ndio hommie wangu Kaizer. Mwenye upara na masikio marefu ndio Teamo la jidume la miraba minne lenye misuli mpaka kwenye pua ndio.........

Teamo umesema kitu ambacho hata mie nilikisema jana wakati natizama mechi ya Bafana Bafana na Uruguay. Yaani ni kweli siku hizi kila mtu anajua kulichambua soka la kombe la dunia yaani hata mie ambaye kombe hili la mwaka huu ndio limeniconvince nianze kuuelewa mpira, nitaweza. Si ni kiasi tu cha kujisemesha....Bafana Bafana wanaonekana kuzidiwa kete yaani wanacheza kwa speed ndogo ambayo hailingani na Uruguay kiasi kwamba ni Tshabalala peke yake anayeonekana kukosa wamaliziaji kule golini. Ha ha ha ha ngoja nianze kucla tizi mitandaoni na kukremu majina ya wachezaji.

Hivi kombe la Wanawake linaanza lini vile..........nitume application TBC1 niwe Commentator lol

Wapwaz nitaadeku usiku .....you beta be zea
Kombe la kina mama timu yetu ipo. Ntaongea na Tido akukonside, manake huu uchambuzi ulioufanya mwenyewe niko hoi. Hivi Tshabalala anachezea Sauzi au Uruguay?

Hapa lazima uingie na valuu tatu kichwani....ma- ladies wanaruhusiwa kujiunga na nyie ??
Mila zinadumishwa mpaka studio. Unakaribishwa sana......
 
KUNA kitu nashindwa kuelewa,mbona team za Africa performance wise zinakwenda backwise,yaani ipambanishe team ya afrika na timu yoyote nje ya africa,no matter how good the african team is,itafungwa tu-tazama cameroun-tazama south africa.ITS TIME sisi waafrika tutafute mchezo mwingine eg RIADHA maana football imetushinda
Tune TBC1 leo saa tatu unusu, mimi na makomredi wenzangu tutalidiskasi hilo. Mtoto wa Alaska usisahau kupiga simu kutukumbusha kama memore kadi kumkichwa zitakuwa zimeingiliwa na vairaz vya valuu....
 
Haha haa, i cant wait to see wapwaz wakiuza nyuso TIBITHII 1! mavazi mtavaaje, kaoshi, t-shirt, au mashati ya vitenge yenye nembo ya JF! Kaaz kwelkwel
 
Haha haa, i cant wait to see wapwaz wakiuza nyuso TIBITHII 1! mavazi mtavaaje, kaoshi, t-shirt, au mashati ya vitenge yenye nembo ya JF! Kaaz kwelkwel
Mi ntatinga na bukta. Hii miguu ya kichaga wala hainisumbui ninapokuwa kwenye profesheni yangu:hail:
 
Usiwe na moyo mgumu wa kuamini kama Thomaso. Utakayemuona amezaa mawani ili kuficha makengeza yake ndio hommie wangu Kaizer. Mwenye upara na masikio marefu ndio Teamo la jidume la miraba minne lenye misuli mpaka kwenye pua ndio.........

aisee!!sawa tunangoja iyo mida ili baada ya hapo turekebishe/au pongezi za hapa na pale
kazi kweli
 
Teamo naona umejiandaa kweli kweli kwa hii programme all the best

story8c2c071507305996e18a778d86ab7b83.jpg
 
Ngojeni mtaona tu vituko....
Teamo unasemaje kuhusu Tiery Hendry?......eeeh! unajua huyu jamaa tatizo lake huwa anachanganya valuu na bia, then anakata network anashindwa kuona magoli,

Kaizer: Aisee Teamo, hebu mcheck Fidel na Bigirita kama wame-order mbuzi plae Maarangu bana, nina kiu halafu limechi lenyewe ndo half time.....ulikuwa unasemaje vile mtangazaji??
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom