Teamo, Chrispin na Kaizer NDANI YA TBC1

wakuu hivi hapa nini kinaendelea?
bigirita hebu nipe samari ya mjadala ulioko mezan
 
HEHEHE!ndo mpango mzima kaka/baba askofu!
rrrrrrrrraaaaaaaaaaaaaah!rrraaaaaaaaaah!
Kuna chimbo moja hivi.........(nitakwambia) ndo mpango mzima leo...........ki-lojistiks pamekaa njema, Fidel atapapenda sana kwa yale 4X4X far!!
 
Kuna chimbo moja hivi.........(nitakwambia) ndo mpango mzima leo...........ki-lojistiks pamekaa njema, Fidel atapapenda sana kwa yale 4X4X far!!
KAKA UMEONA nimeitendea nini hii yuzifuli post?
UMEONAAA EEH!?...
nasubiri dataaz hapa......

najua muhudumu mmoja lazima awe wangu hapo kaka
 
Unawekeza kila baa...:decision:
which is good,yah!?
si umeona mwenyewe ni FOO BAI FOOO BAI FAAAAAAAA!
weldi cup na big-skrini!
nilikuwa ubaozi wa brazil thirty minutes ago kukamilisha application za uraia!INFIDELITY AT ITS BEST

LONG LIVE WELDI KAPU
LONG LIVE FIFA
 
hahahahaaaa!.yani ww ulifikiri hawa wataondoka kaunta na akili zao zilizochanganyika na valuu waende TBC kuongea huku wakiwa na glass za maji?
Kakague nimeitendea nini hii yuzifuli posti. Au kama una kauvivu ka hangover, angalia kwa hapa chini!!
The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:

Chrispin (Today)​
 
Kakague nimeitendea nini hii yuzifuli posti. Au kama una kauvivu ka hangover, angalia kwa hapa chini!!
The Following User Says Thank You to Bigirita For This Useful Post:

Chrispin (Today)​
nina piga coffee kwa wingi.......mning'inio wa ajabu, sijui ilikuwa gongo ile!!
 
Back
Top Bottom