Hata akinidungua poa tu.....nisha Click zangu sina shida...mautamu ya shansarie sio mchezo!View attachment 137499
kiwatengu akitaka kumdungua Erickb52 baada ya kumfumania akiwa na shansarie lol..
ahahahaaaaa.................afu eti kaweka na kakitambi..........ndo maana simtaki tena!!!
Hata akinidungua poa tu.....nisha Click zangu sina shida...mautamu ya shansarie sio mchezo!
Ndio sijui
Hebu niambie kama unasema kweli !!
Mkuu unanidhalilisha mbele ya makasisi wenzangu ujue.
Huyu Zinduna kuna kitu anantafuta. Na maadam najua pa kumpata, basi haidhuru naye atakipata.
Kudadadeki .......
Kwahiyo?
Kisharobaro nacho eti ni kibondia Hahahahaaakabondia kipotabo............heheheeeeeeee