Team ya wapiga deki mpooo!

Team ya wapiga deki mpooo!

issue ya kupiga deki ni janga la jamii siku hizi hata wanaume wanablush uso
ila kwa levo ya bi chau ni tatizo ile ni skin erosion duuuu
 
issue ya kupiga deki ni janga la jamii siku hizi hata wanaume wanablush uso
ila kwa levo ya bi chau ni tatizo ile ni skin erosion duuuu

Umemuona ee kawa kama kama chapati iliyounguaaa
 
ah mi unanchoooosha!
maswali gani hayo?
yule hapigi deki ila katoa kabisa rough sakafu kaweka tiles!
nxt tym usiwe unauliza maswali obvious hiv kama mdomo na meno!

Ana maswali mengi kwani ye ni police
 
afu wanakumbukaga usoni tu upate bahati umchungulie t..a..k..o !!

ha ha ha ha....sikutegemea kutoa komento lakini imebidi. Nimewaza mengi kwa komenti yako...
ha ha haaaa
 
ah mi unanchoooosha!
maswali gani hayo?
yule hapigi deki ila katoa kabisa rough sakafu kaweka tiles!
nxt tym usiwe unauliza maswali obvious hiv kama mdomo na meno!

hahahaa.. Ila piga ua wapiga deki hawawezi kuisha labda wasukuma wasije mjini.!
 
yule wa k......i, au wa 2liver haahaa...., tuliver na tumbavu twangu tunauma kwa kucheka maana jamii forum nizaidi ya stress free zone aisee! (just joking)

Wakati mwingine watu wetu wa karibu tuwe tunawaambia tu ili waache jamani.
 
Utakuta mwengine ni mweupe kwa asili lakini bado haridhiki anataka kuwa albino(no offense)
Dida, na mamama ya vigodoro!
 
Back
Top Bottom