Team ya wapiga deki mpooo!

Team ya wapiga deki mpooo!

Raha ya mkorogo ujue kujisugua, kwa raha zangu. Karolait yangu mwenyewe, ngozi yangu mwenyewe, mtantaka!
 
tumblr_meylh4BLuh1qb81mco1_500.png
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kwani wema nae kapiga deki?

ah mi unanchoooosha!
maswali gani hayo?
yule hapigi deki ila katoa kabisa rough sakafu kaweka tiles!
nxt tym usiwe unauliza maswali obvious hiv kama mdomo na meno!
 
Back
Top Bottom