usicheeeke wewe!
mwenzako mi nna mawaaaaazo!
hapa nawaza sijui wakiwa wanajiangalia kweny kioo hawastukaagi!
Yaan unakuta mtu ana rangi kumi mwilini mwake usoni rangi 5 miguu rangi 2 na ndani ya mwili nako rangi 2 sasa sijui wanaume hua wanaoa upinde wa mvuaa
hapo kweny rangi juu ya kope nitapaka rangi tstu,zambarau,pink,na gold!kioo kinadanganya wewe !!! We siku chukua resi wigi vaa afu ubandike kope upake na rangi ya zambalau juu,ubandike kucha vidoleni afu jiangalieee!!!
hmmm jana nilimwona wema kwakweliiiiiii hnnnmmmm hatariiiii....
af ujue kuwa weusi mwisho kijijini mjini wote weupe
update hivi
heshima ya kenge ulimi mkia kazi ya mamba!
sawa?