Team ya wapiga deki mpooo!

Team ya wapiga deki mpooo!

Qwi qwi nishidah ati maana wanaona maupinde upinde tena bola hata ya upinde unalangi nzuli hao nizaidi ya upinde,huwa nakeleka kweli na watu wanaojichubua huko nikutokujikubali mwenyewe.
N:B Kama weupe ungekua dili ubuyu usingepakwa langi teh teh
Yaan unakuta mtu ana rangi kumi mwilini mwake usoni rangi 5 miguu rangi 2 na ndani ya mwili nako rangi 2 sasa sijui wanaume hua wanaoa upinde wa mvuaa
 
ahahahaha ngoja Dina akutangaze ye ndo yupo na lile gari la mobile broadcasting!lina supika kuuuuubwa wewe!

haaaa mimi ndo dereva na tumebadili muelekeo kwa maaana kuna jitu haliskii siku ya karibu tumemfunda ila anatusumbua Dinazarde my wii yle mwali anasumbua bdo ujue
 
Last edited by a moderator:
Jamanii jamaniii jamanii wajameniiiiiiiiii natumaini hamjambo wote, wagonjwa poleni mtapona semenii AMINAA

Jamani kujichubua kujibadili ngozii kutoka ngozi nyeusi hadi nyeupe kunawatesa watu kisa sijui kutafuta uzurii/urembo hata sielewiiii hadi wanaume nao wanajichubuaa sijui watongozwe nao hata sielewi ndio maana wanaume wamekuwa wachache!

Nimemuona Bi Chau ngozi imekua kama tambara la dekii liliotafunwaa halafu liwe limedekiwa miaka miwili kama ushaliona hilo tambara la deki ndio ngozii ilivyo kaharibika kapaka make up sijui mapouda lakini bado usoni ana ramani ya EAST AFRIKA

Kama we ni mweusi ridhika kama ulivyo ,,kama we ni rangi ya mtume ridhika ulivyo usithubutu kujipiga dekiii mnaharibika mno mnakomaa kweli sijui hamjionii yaan na harufu ya cream mbaya mbayaa,wengi tu tunawaona mlivyoharibika na mtaona wanakuja kuchangia povu linawatokaa hilo

Kila mtu afanye anachopenda lakini badilikenii kujipiga deki ni noumaaaaaa sanaaaaaaaa
Hupendi huu uzi soma tu usikomenti.

wabhejaaaaaaaa😱😱😱😱😱😱😱
hapo; Unamkusudia mtu au mwenza..?
waamolaa.
 
uuuuupsi ina maana babu kazeeka hadi original haujui best ooor ndo mapenzi nipoteze kama ndege ya malaysia

Hahahahaa mahaba nipofue....ye anaona orijinale kabisa hii
 
haaaa mimi ndo dereva na tumebadili muelekeo kwa maaana kuna jitu haliskii siku ya karibu tumemfunda ila anatusumbua Dinazarde my wii yle mwali anasumbua bdo ujue

yu kwaaaaaapi?
hem geuza motokaa fasta!
 
Last edited by a moderator:
hem ngoja kwanza!
umesema sura zimenyonyoka kama wat?

kuna yule mdada wa kinondoni..jina kapuni a.k.a mama manywele tooooba sura imelendemka utafikiri mlenda na zile kope za bandia kama jini vile.....akilowa na mvua na zile makeup sijui itakuweje
 
Wakijiziba mdomo kwa mkono unawezahisi amepigwa kabali, mkono mweusii..

hahahahahahahahaha
yan unamaanisha unaweza ita 911 kwamba kuna mtu ananyimwa pumzi huku unashuhudia
 
kuna yule mdada wa kinondoni..jina kapuni a.k.a mama manywele tooooba sura imelendemka utafikiri mlenda na zile kope za bandia kama jini vile.....akilowa na mvua na zile makeup sijui itakuweje

Hold on.. Dinazarde hebu hii ya kupiga deki weka kapuni kwanza lol...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom