Team ya wapiga deki mpooo!

Team ya wapiga deki mpooo!

Hawa watu wanaojichubua huwa nahisi wamelogwa walahi.Jamani!!!!!! Mtu unakuta kajichubua kaungua kawa mwekundu utadhaniaga nyama but haachi kujipiga deki pamoja na kuharibika kote huko.hawa si bure carolight lazima iliwaendea kwa waganga.
 
Hakuna tofauti na anaekwenda saloon kutengeneza nywele zake

Wote ni wale wale tu!
 
..hilo jiwe limerushwa pabaya...lol
....kuna sura sijaziona humu tangu jiwe lirushwe!!!..wabayaje wanakuwa..!!
 
Kama alivyosema Dinazarde hapo kuwa ni afadhali wanaoweka dawa maana hawa wa kujichubua hata maisha yao wanayaweka hatarini aisee

Unajua madhara ya dawa zinazowekwa kwenye nywele ili zitoke kwenye uasili wake?

Madhara yake ni sawa na yale ambayo anayapata anaebadili ngozi yake
 
Back
Top Bottom