Team ya wapiga deki mpooo!

Team ya wapiga deki mpooo!

kuna yule mdada wa kinondoni..jina kapuni a.k.a mama manywele tooooba sura imelendemka utafikiri mlenda na zile kope za bandia kama jini vile.....akilowa na mvua na zile makeup sijui itakuweje
atiii?
ina maana anakuwa kama ukuta uliowahi kuwa mweusi af ukapakwa chokaa aftena mvua za rasharasha zinyeshe?
funguka zaid bana!
 
mwanamke resepsheni t.ako analiona nani?
hureeeeee
leo tutasuuuuuutwa haaaapa!
ila uzur suto la leo ngumu kudiklea interest!

ha ha ha ha !!!! Raha ya msuto shurti mtu kati!! Ngoja aje mwenyewe hapa mi wallah ntatokea mlango wa nyuma!!!
 
Hehehee, eti kujivua gamba..ila bahati mbaya magamba ya miguuni yanagomaga kuvuka...
ndo inakuwa sura mpya miguu ya zamani.

hahahahaha eti miguu ya zamani!!!! Afu unakuwa wa chuichui!
 
ha ha ha ha !!!! Raha ya msuto shurti mtu kati!! Ngoja aje mwenyewe hapa mi wallah ntatokea mlango wa nyuma!!!

kwi kwi kwi wiiii umeonaeee mbona itakuwa mtafutanoooo.....kusutwa suna
 
usicheeeke wewe!
mwenzako mi nna mawaaaaazo!
hapa nawaza sijui wakiwa wanajiangalia kweny kioo hawastukaagi!

Wanajiona sana sema tu wanakua kama wale wa madawa ya kulevyaaa hahahhhhaaa
 
Back
Top Bottom