Team ya wapiga deki mpooo!

Team ya wapiga deki mpooo!

Unajua madhara ya dawa zinazowekwa kwenye nywele ili zitoke kwenye uasili wake?

Madhara yake ni sawa na yale ambayo anayapata anaebadili ngozi yake

Baeleze baelewe kabisaaa
 
Khantwe siku nikiwa na muda nitaandika how to make shower gel itakayokufanya uwe soft na mng'ao asilia You Will love it. Am addicted to it....

Pliz pliz usikawie kuleta hiyo kitu aisee tena ukiweka untag
 
Last edited by a moderator:
wahivyo hata kichwa wazi hashtuki. ntu harufu mbaya utadhani umepishana na gari la taka.
 
Hahahaahaa....mapouder sijui mara ya mwisho nilipaka lini... The only thing am addicted to is a lipgloss.... naenda nayo kila sehemu

Hahah mimi hiyo unayoitaja hata siijui asee
 
Back
Top Bottom