kuku87
JF-Expert Member
- Mar 3, 2013
- 1,220
- 296
Huyu naye utadhani katekwa ghafla kumbe anapiga chafya
Duh nilidhani yuko kwenye mkakati wa kutolewa kucha
Huyu naye utadhani katekwa ghafla kumbe anapiga chafya
ukisikia PAAAAAAA ujue imekukosa alie lenga hana shabaha .
Nmekuja fastaa nikajua mambo yetu.. Kupiga deki wengine tunamaanisha chumvini itabidi ni-edit dikshenari yangu lol!.
Hahaaaaa!hatareeee!bora nibaki na huu weusi wangu wa kiwi lol!
Hahahaa hata ya dawa haijakugusa?
Halafu sasa ukiwa nao faragha ndo namba moja kukimbilia kuzima taa kuficha ramani zao huko chini
wanja wenyewe siku nyingine nasagaugi kupaka!Much love to you too.... mi nachurale kuanzia nywele hadi miguuni. The only thing ninayoadd ni wanja lipgloss .kipilipili changu kifupi huyooooooo
Is it OK to relax my hair (from my African texture to completely straight)
Is it OK to wear wigs and add extentions, weaves, braids etc
Is it OK to have fake nails, fake eyelashes, wear colored lenses,
fake hips and butts (za kubaa au za masindano), fake breast-pushing bras,
Is it OK to have even a fake western name and call myself XXX wa bongo
If all that is fine then isn't it normal to move forward and have the complexion that matches it?
Kwa mtazamo wenu was Vera Sidika "natural" before? with those hair? those hips?
Wanaume nao acheni kuwasema wanawake wanao bleach,
most of you seem to like light-skinned ladies!
View attachment 166771
cc AshaDii theboss Kongosho King'asti et al
Bob Marley kaaafa kaniachia marasta,rasta zake mbiili zinacheza reeeeege.yo yo yo yo yo yoooo yo yo yo!
Ah sore nilijua nipo kwemye tamasha!
Umenieeeereewah?/
Nadhani nimekuelewa though sina hakika saana...
wanja wenyewe siku nyingine nasagaugi kupaka!
Nikishatinda nyusi inatooooosha
Lipgloss mpk harusini au nikiwa na kidate (teh)
Lipstick nilipaka Mara ya mwisho siku naolewa,i.e ten yrs back!
wanja wenyewe siku nyingine nasagaugi kupaka!
Nikishatinda nyusi inatooooosha
Lipgloss mpk harusini au nikiwa na kidate (teh)
Lipstick nilipaka Mara ya mwisho siku naolewa,i.e ten yrs back!
Huu uzi walengwa wote wamemwagika
Ukisikia nimekufa wala usijisumbue kuja kunizika. Fungua radio kwa sauti kubwa, kata mayenu kwa raha zako. Tutakutana paradiso, ntakushtaki.