TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
Hahah mimi hiyo unayoitaja hata siijui asee
Hahahaaaa....nimecheka sana kwakweli.
Hahah mimi hiyo unayoitaja hata siijui asee
Usijali kabisa.. ngoja nimalize mishemishe za mwisho wa mwezi
wahivyo hata kichwa wazi hashtuki. ntu harufu mbaya utadhani umepishana na gari la taka.
Hahahaaaa....nimecheka sana kwakweli.
...akimaliza tu kukupa lekcha we will do the nidful, sawa??
Hahahah duuuh huyo dada anatiaje huruma sasa....
Umeona eeh!!!! Mwenyewe anajiona kapendeza kupita maelezo lol!!
Jamanii jamaniii jamanii wajameniiiiiiiiii natumaini hamjambo wote, wagonjwa poleni mtapona semenii AMINAA
Jamani kujichubua kujibadili ngozii kutoka ngozi nyeusi hadi nyeupe kunawatesa watu kisa sijui kutafuta uzurii/urembo hata sielewiiii hadi wanaume nao wanajichubuaa sijui watongozwe nao hata sielewi ndio maana wanaume wamekuwa wachache!
Nimemuona Bi Chau ngozi imekua kama tambara la dekii liliotafunwaa halafu liwe limedekiwa miaka miwili kama ushaliona hilo tambara la deki ndio ngozii ilivyo kaharibika kapaka make up sijui mapouda lakini bado usoni ana ramani ya EAST AFRIKA
Kama we ni mweusi ridhika kama ulivyo ,,kama we ni rangi ya mtume ridhika ulivyo usithubutu kujipiga dekiii mnaharibika mno mnakomaa kweli sijui hamjionii yaan na harufu ya cream mbaya mbayaa,wengi tu tunawaona mlivyoharibika na mtaona wanakuja kuchangia povu linawatokaa hilo
Kila mtu afanye anachopenda lakini badilikenii kujipiga deki ni noumaaaaaa sanaaaaaaaa
Hupendi huu uzi soma tu usikomenti.
wabhejaaaaaaaa😱😱😱😱😱😱😱
Halafu sasa ukiwa nao faragha ndo namba moja kukimbilia kuzima taa kuficha ramani zao huko chini