Team ya wapiga deki mpooo!

Team ya wapiga deki mpooo!

Hahahahah....mwanamke deki risepsheni..kwkwkw msemo wa zamani huu miaka ya 70...wakubwa wenzangu sijui wanaukumbuka? We Dinazarde wa jana huujui huu ndioa maana unahangaikaaa....utuwache tulaleee....
 
Last edited by a moderator:
Mbona Khadija Kopa ana rangi yake natural hadi raha.

Na anapendeza uso kama mtoto lainii lakin wale wanaojichubua heeee hata ukimzaba kofii haumiii nakuambiaa
 
Hahahahah....mwanamke deki risepsheni..kwkwkw msemo wa zamani huu miaka ya 70...wakubwa wenzangu sijui wanaukumbuka? We Dinazarde wa jana huujui huu ndioa maana unahangaikaaa....utuwache tulaleee....

mwanamke resepsheni t.ako analiona nani?
hureeeeee
leo tutasuuuuuutwa haaaapa!
ila uzur suto la leo ngumu kudiklea interest!
 
Last edited by a moderator:
Hahahahah....mwanamke deki risepsheni..kwkwkw msemo wa zamani huu miaka ya 70...wakubwa wenzangu sijui wanaukumbuka? We Dinazarde wa jana huujui huu ndioa maana unahangaikaaa....utuwache tulaleee....

Kama unajichubua shoga achaaa yaan utakua ukipigwa busu hata husisimki maana ngoz inakomaa utaachwa na babu Asprin
 
Last edited by a moderator:
Nmekuja fastaa nikajua mambo yetu.. Kupiga deki wengine tunamaanisha chumvini itabidi ni-edit dikshenari yangu lol!.

Endeleaa kupigishwa dekiii kaiedit fastaaaa
 
kuna watu sijui huwa wanawaza nini kwenye mbongo zao anyway ujumbe umewafikia
 
wamejichubua sura zimenyonyoka kama paka mweusi aliyemwagiwa maziwa.....
 
Back
Top Bottom