Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,271
- 96,398
Ha haha babu. Umenyimwa morning glory orr
Mbona maneno makal
Yote umesababisha wewe... Nikikukamataaaa....
Ha haha babu. Umenyimwa morning glory orr
Mbona maneno makal
Hivi mara ya mwisho kukuambia nakupenda ilikuwa lini?
Mkuu angalia wengine jinsi michango yao ilivyo kuwa "muted" tofauti na thread nyingine. By the way, deki ni deki tu. Liwe la bei rahisi a.k.a big results now au kill me quickly ama la bei kubwa a.k.a slowly but sure au kill me slowly. Kote kote madhara ni yale yale. My sisters be natural. Kuba wengine tunapenda akina cheusi dawa!
Very good....na tunamdai excel ng'ombe wengine
hahahahaa afu ungejua excel mwenyewe nahisi anataka ng'ombe zake za awali lol
Hahahaaahaa..... haijawahi tokea ndio nasikia leo!
Hahahaaahaa..... haijawahi tokea ndio nasikia leo!
Kisa? Hakirudi kitu yakhe
Yote umesababisha wewe... Nikikukamataaaa....
uwiiiiiii hata kuzuga hujia tati jibu kavu lol
Haaaaa kwa kipi
Nikimbize had unikamate
uwiiiiiii hata kuzuga hujia tati jibu kavu lol
Bestito nimekumisije
Ukiona kaanza kukunja ndita kimbia...njoo home faster...kina kaka watajua cha kufanya...cc Ntuzu
We mtetea, mi jogoo. Mbio shurti ziwemo ili kieleweke.
hahahaa nishatoroka hapa nasakwa kwa udi na uvumba kibao kikiwageukia mi simo
miss u more pepa umemaliza