Msandawe Halisi
JF-Expert Member
- Nov 5, 2010
- 647
- 351
mchango wa kuwatembelea wagonjwa umeshatoa?
Ndio!!! Nimekwisha toa
mbona jina lako halipo katika orodha
Unalifahamu jina langu???
Haya tuachane na hilo la michango, vipi wewe ni short au upo katika nafasi ya kupedwa na mimi?
mrefu mlinganw nae aio akuzidi hadi wewe sasa hiyo iyakua kelo.... mambo ya kupanda kwnye vistuli sio, wengine utakuta tolu af bado anaongeza na high-hillz utadhan anataka kudaka ndege
Napenda sana hiyo. Mrefu alafu atupie hillz kwa mbaali ananiacha icu niko hoi. Kwa ujumla wanawake warefu wananimaliza kabisa.
mchango wa kuwatembelea wagonjwa umeshatoa?
Binafsi mwanamke akiwa chini ya Ft 4 hata kumwangalia simwangalii, hata awe na inyee kama Tv ya kichogo aahh wapi. Hata awe na vibastola aahh wapi. Binafsi napenda FT 5 kwenda juu, asiwe na mwili jumba bali awe na mwili mwili kimtindo. Mpododo angalau uwepo wa kiani ila hata akiwa na inye siyo mbaya mimi burudani. Mwanamke mrefu apande kwenye daladala siti zikiwa zimejaa nitasimama kumpisha. Mfupi ampishe nani, thubutuuu!!!
Kama hapa MMU upo mwanamke mwenye sifa hizo, bila kujali umri ni PM japo kesho siku ya nane nane nikutoe lunch pale Salender Bridge Club. Kuna mkonyi wa kuku, Makange ya sato na kuku.
Haya, ngoja ukutane na angel Kagame.