Team platinumz

Team platinumz

issa mweusi

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2015
Posts
1,477
Reaction score
1,139
Ndugu yenu kiba hana uwezo ila kwakuwa hamkuwa na kazi ya kufanya kupanga matokeo tofauti na yanavyotakiwa kupangwa Ipo siku uwezo wa mond utaonekana wazi tu mana watz walio wengi hawapend maendeleo ya MTU haswa mtu anayefanya jitihada zake mwenyewe..............
 
Diamond bado yupo juu kama kawa hajapungukiwa kitu, hiyo inajulikana.

Kupiga kura Diamond Platnumz kategori 3, vanessa 1 ingia kwa link

MAMA 2015

Bonyeza bonyeza VOTE usichoke

******************

Watu wapige kura siyo baadae waje kulalamika team Kiba wamesema wanampigia Davido walivyo kuwa haters
 
Watu wapige kura siyo baadae waje kulalamika team Kiba wamesema wanampigia Davido walivyo kuwa haters

Hao wanajijua msanii huyo K hana la kuonyeshea, kwa hiyo wanatumia timu K kufunika wivu wao juu ya msanii Diamond ambaye anazidi kupanda hivyo wanataka ashuke

Wanatia aibu TZ kwa wivu wao wa roho za korosho. Hata Vanessa wanamuonea wivu bali hawasemi
 
Yupo kategory gan?

1434238971248.jpg
 
Watu wapige kura siyo baadae waje kulalamika team Kiba wamesema wanampigia Davido walivyo kuwa haters
Kura tunapiga na wao wampigie wanayemtaka hakuna wa kuwazuia ila wanajua ndani ya nafsi zao kuwa Diamond yuko juu ndo mana kawa-nominee kimataifa hata kama hajashinda ila kuwa nominis tayari yeye yupo juu kwa hapa TZ
 
Ndugu yenu kiba hana uwezo ila kwakuwa hamkuwa na kazi ya kufanya kupanga matokeo tofauti na yanavyotakiwa kupangwa Ipo siku uwezo wa mond utaonekana wazi tu mana watz walio wengi hawapend maendeleo ya MTU haswa mtu anayefanya jitihada zake mwenyewe..............

Uwezo wa huyo diamond unaonekana ila kwenye tuzo wapiga kura wamempigia kiba kura nyingi zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom