Team nzima ya CHADEMA ndani ya Kahama leo mapokezi ya James Lembeli

bavicha kwa mikwala jamani...
hakuna kitu kama hicho,mie napajua tinde to kahama huwezi panga watu pote hata kama awe anarudi yesu mwenyewe achilia mbali lembeli.

Bila shaka YESU akirudi kuwachukua wateule nawe utakua miongoni mwao
 
Wakuu, nimepokea taarifa kutoka Shinyanga zinasema leo Jumamosi katika mji wa kahama kutawaka moto kwani team nzima ya CHADEMA itakuwa huko kumtambulisha mh James David Lembeli au kama anavyojulikana zaidi kwa jina la (mwana wa maria).

Inasemekana tayari vijana wa kada mbalimbali tayari wamejipanga kupokea msafara huo kuanzia Tinde (75 km to kahama) hadi kahama.

Watakaokuwepo ni dk Slaa, Lema, Mbowe, Tundu Lisu, Halima Mdee, Mnyika, Lembeli, Esta Bulaya na wengine wote.

Inaonekana wazi kuwa miaka 50 ya uhuru imepita sasa ni miaka 50 ya demokrasia,hii ni baada ya magufuli kupita katika mji huo na kukosa watu wa kumpokea,kumpungia mikono,ccm ilibidi wafanye kazi ya ziada kwenda kufata watu vijijini kwa malori.

My take
Mwenye picha za Esta Bulaya atuwekee hapa ili tumfahamu vizuri.

Magufuli show me your friends and i will tell who you are

Ahahahaha upinzani tabu kweli kweli
 
Kamanda nakupa tano kwa kutupatia habari za kahama
 
Attachments

  • 1437809657377.jpg
    1437809657377.jpg
    65.8 KB · Views: 736
wewe siasa bado hujui kumbe!,hawa wanafuta nyayo za makufuli,nafikiri mpaka sasa watu washaanza kumsahau makofuli na hapo bado mteule wa ukawa hajaanza kutambulishwa mikoani

Ccm mwaka huu lazima kichaa chao kitapona tu
 
Elungata hukui tu siku zote? maana ya kwenda kumpokea ni pamoja na kwenda na bodaboda na magari hata kwa miguu ikiwezekana.halafu hata wewe unakaribishwa

Kama watu walitoka musoma hadi dar kwa miumguu itakuwa tinde to kahama,alafu watu kujipanga inawezeka na tinde to kuna wanamageuzi kibao,isaka to kahama inawezekana tu
 
Last edited by a moderator:
bavicha kwa mikwala jamani...
hakuna kitu kama hicho,mie napajua tinde to kahama huwezi panga watu pote hata kama awe anarudi yesu mwenyewe achilia mbali lembeli.

Ni zamu ya uvccm kuitukuza bavicha kila kukicha
 
Hizi toyo na sanlg zilizochoka ndo zitembee km75? mafuta mnawajazia? watawachokeni mwishowe juzi lissu alikuwepo leo tena mnakuja tena, nendeni na majimboni kwenu sasa.

Hasiye itaka cdm ahame nchi
 
Kama watu walitoka musoma hadi dar kwa miumguu itakuwa tinde to kahama,alafu watu kujipanga inawezeka na tinde to kuna wanamageuzi kibao,isaka to kahama inawezekana tu

Haya bwana, mbowe keshajengewa barabara ya lami, tena magufuli aliisimamia mwenyewe, anawachoreni tu, mnaogopa kwenda majimboni kwenu mtadaiwa maji barabara zahanati na madawati, mnashinda mwanza na kahama kwenye maji barabara za lami na shule ya sekondari kila kijiji.
 
Baada ya miaka 53 ya uhuru bado unamuukiza mbunge barabara,maji na huduma za afya na shule?hii inaonyesha serikali iliyokuwepo madarakana ilikuwa haitimizi wajibu wake,kodi ilizokuwa inakusanya zilikuwa zinafanyia kazi gani?au ndio zikikuwa zinaishia matumboni mwa watawala?
 
Haya bwana, mbowe keshajengewa barabara ya lami, tena magufuli aliisimamia mwenyewe, anawachoreni tu, mnaogopa kwenda maj.imboni kwenu mtadaiwa maji barabara zahanati na madawati, mnashinda mwanza na kahama kwenye maji barabara za lami na shule ya sekondari kila kijiji.

Unajuwa mbowe na wewe mmechangia kujenga barabara..makomea ni mnyapara tu ila mimi na wewe kama una gari kiberiti ukinunua umelipa kodi
 
bodaboda 3000,noah 50 na gari binafsi 15 fuso 6 zikiwa na wanachama wa chadema wanaenda kuulaki msafara wa uongozi wa chadema kuanzia nje ya mji. asta la vista nchi yangu ukombozi yuaja
 
Wakuu, nimepokea taarifa kutoka Shinyanga zinasema leo Jumamosi katika mji wa kahama kutawaka moto kwani team nzima ya CHADEMA itakuwa huko kumtambulisha mh James David Lembeli au kama anavyojulikana zaidi kwa jina la (mwana wa maria).

Inasemekana tayari vijana wa kada mbalimbali tayari wamejipanga kupokea msafara huo kuanzia Tinde (75 km to kahama) hadi kahama.

Watakaokuwepo ni dk Slaa, Lema, Mbowe, Tundu Lisu, Halima Mdee, Mnyika, Lembeli, Esta Bulaya na wengine wote.

Inaonekana wazi kuwa miaka 50 ya uhuru imepita sasa ni miaka 50 ya demokrasia,hii ni baada ya magufuli kupita katika mji huo na kukosa watu wa kumpokea,kumpungia mikono,ccm ilibidi wafanye kazi ya ziada kwenda kufata watu vijijini kwa malori. vijana zaidi 3000 kutoka mji wa kahama wakiwa na pikipiki zao wanaelelekea kuupokea msafara wa chadema kuanzia nje ya mji huku noah zaidi ya 50

My take
Mwenye picha za Esta Bulaya atuwekee hapa ili tumfahamu vizuri.

Magufuli show me your friends and i will tell who you are

CCM ni chama cha hovyo kabisa
 
wakuu hapa nina video na picha nyingi za hali inavyoendelea huko kahama ,nielekezeni jinsi ya kuupload nimejaribu sana lakini hazitokei
 
Back
Top Bottom