Team Membe akiwemo Nape, January, Makamba mbioni kufunguliwa kesi ya uhaini kutaka kumdhuru na kumpindua Rais Magufuli

Na kesi ya kubwa la majizi kuhusu ukwapuzi wa nyumba za Serikali akishirikiana na fisadi Mkapa, ununuzi wa kivuko UOZO kwa bilioni 8 na ukwapuzi wa 6.5 trillions za walipa kodi uliofanywa na huyo kubwa la majizi wa chato zinafunguliwa lini.

Hii issue huyo nduli kishapigwa mueleka mzito sana Ikulu imeshakuwa chungu kwake. Kitaeleweka tu.
Hivi mnamaanisha tusichukuliane hatua kwavile hakuna msafi? Seriously?
 
Back
Top Bottom