Team Membe akiwemo Nape, January, Makamba mbioni kufunguliwa kesi ya uhaini kutaka kumdhuru na kumpindua Rais Magufuli

Safi sana.

Washikishe adabu hao Rasi Magufuli.

I’ve got your back and then some.
Daaadadeki!! Kiko wapi sasa? Kashikishwa adabu mwenyewe, wamemtanguliza kunako ahera. Huwezi kutoka shamba zako huko Chato mashenzini, uje uwaringishie watoto wa mjini.

Lazima tukutoe
 
Makaburi mengine badala ya kutisha kama Yale ya kwenye Sinema za
The Conjuring,The Nun,
Drug me to hell na Anabelle haya mengine yanafurahisha Sana kiasi Kwamba unajiuliza Hivi mambo yanaendaje mbona majeneza hayana mifupa inamaana imeyeyuka au walizika migomba na marehemu ni wazima walifake vifo?
😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom