Team Membe akiwemo Nape, January, Makamba mbioni kufunguliwa kesi ya uhaini kutaka kumdhuru na kumpindua Rais Magufuli

Na kesi ya kubwa la majizi kuhusu ukwapuzi wa nyumba za Serikali akishirikiana na fisadi Mkapa, ununuzi wa kivuko UOZO kwa bilioni 8 na ukwapuzi wa 6.5 trillions za walipa kodi uliofanywa na huyo kubwa la majizi wa chato zinafunguliwa lini.

Hii issue huyo nduli kishapigwa mueleka mzito sana Ikulu imeshakuwa chungu kwake. Kitaeleweka tu.

Uzuri hata yeye alikiri kuwa ni mfungwa mtarajiwa.
Kuna zile pesa za kivuko, pia billion 251 zilipotea wizara ya ujenzi kipindi akiwa waziri na sasa ujenzi wa chato airport, 10% ununuzi wa ndege na bilion zingine za ukarabati wa ndege akina Nape wanajua hayo pia ngoja wanyukane wenyewe kwa wenyewe mpaka keko kujae vigogo wa CCM makao makuu
 
Na kesi ya kubwa la majizi kuhusu ukwapuzi wa nyumba za Serikali akishirikiana na fisadi Mkapa, ununuzi wa kivuko UOZO kwa bilioni 8 na ukwapuzi wa 6.5 trillions za walipa kodi uliofanywa na huyo kubwa la majizi wa chato zinafunguliwa lini.

Hii issue huyo nduli kishapigwa mueleka mzito sana Ikulu imeshakuwa chungu kwake. Kitaeleweka tu.
Labda wakafungue kesi kwenye Mahakama za UN na wakili awe Tundu Lisu lakini kufungua kesi huko Mahakama za pale jirani na njia ya kwenda kwao watapoteza mda wao ni vigumu wakasikilizwa na kupata haki.
 
Na kesi ya kubwa la majizi kuhusu ukwapuzi wa nyumba za Serikali akishirikiana na fisadi Mkapa, ununuzi wa kivuko UOZO kwa bilioni 8 na ukwapuzi wa 6.5 trillions za walipa kodi uliofanywa na huyo kubwa la majizi wa chato zinafunguliwa lini.

Hii issue huyo nduli kishapigwa mueleka mzito sana Ikulu imeshakuwa chungu kwake. Kitaeleweka tu.
Mabox man
 
Back
Top Bottom