Team Magufuli vs Team Mafisadi

Team Magufuli vs Team Mafisadi

Utafiti makini na wa kina uliofanywa na team ya wadadisi makini wa mambo ni kwamba mafisadi, majizi, majitu yenye husuda na chuki dhidi ya nchi yetu ndani na nje ya Nchi yameungana pamoja dhidi ya Magufuli kuhakikisha kwamba hafanikiwi katika dhamira yake ya kuileta Tanzania tuitakayo. Ishara kuu ya majitu haya ni kupinga kila zuri analofanya JPM. Kumkatisha tamaa na kum frustrate ndio mana kila anapofanya zuri mfano kuzindua barabara ya njia nane yenyewe yanapinga, akizindua daraja la kupita majini yenyewe yanapinga, akijenga madaraja ya juu yenyewe yanapinga, akinunua ndege mpya yenyewe yanapinga....Magu yeye asiyumbe. Ashikilie hapo hapo.
Akili ndogo sana hizo. leo miaka 3 na ushee tangu aingie madarakani watumishi wa umma hawajaongezewa mshahara hawa nao ni mafisadi? hata dada wa kazi kaongezwa mara mbili au zaidi sembuse mtaalamu. wastaafu zaid ya 3000 hawajalipwa mafao yao hayo ni kwasababu ya mafisadi? waliostaafu (wa pensheni ) hawajalipwa tangu oktoba hao nao ni mafisadi. mikopo kwa wanafunzi inapungua kwa sababu ya mafisadi? watu hawana pesa mkiulizwa mnasema walikuwa wajanja wajanja... mmeminya uhuru wa watu kwa ushamba wenu...
 
ile trillion 1.5 iliyopotea kwa na ujenzi wa uwanja wa ndege wa Chato inaingia upande upi hapo??
 
Mwandishi tuambie elimu yako kwnza..tafadhali
udakutz_-20181221-0001.jpeg
 
Utafiti makini na wa kina uliofanywa na team ya wadadisi makini wa mambo ni kwamba mafisadi, majizi, majitu yenye husuda na chuki dhidi ya nchi yetu ndani na nje ya Nchi yameungana pamoja dhidi ya Magufuli kuhakikisha kwamba hafanikiwi katika dhamira yake ya kuileta Tanzania tuitakayo. Ishara kuu ya majitu haya ni kupinga kila zuri analofanya JPM. Kumkatisha tamaa na kum frustrate ndio mana kila anapofanya zuri mfano kuzindua barabara ya njia nane yenyewe yanapinga, akizindua daraja la kupita majini yenyewe yanapinga, akijenga madaraja ya juu yenyewe yanapinga, akinunua ndege mpya yenyewe yanapinga....Magu yeye asiyumbe. Ashikilie hapo hapo.

Mimi napingana sana na kauli hizi, pia nategemea baadhi ya vipengele na hoja zetu zisiwekewe siasa hadi zikapitiliza.

Mtoa hoja hapa kaleta siasa na si uhalisia wa maisha ya hao watanzania masikini tunaosema kila siku.

Wakati nasoma uchumi kidato cha tano mwalimu wangu alinifundisha kitu kinachoitwa "scale of preference"
Huu ni mpangilio wa mahitaji ya mtu,watu ,taifa etc kutoka lililo na umuhimu zaidi hadi lile la chini zaidi. Kimsingi wapinzani na watu wengine wamekuwa wakilalamikia kukosekana kwa jambo hili katika serikali yetu.

Kuna mambo ambayo hana msaada kidogo sana kwa nchi na wananchi lakini yanapigiwa upatu kushinda mambo ya msingi likiwepo hili la daraja la baharini. Pia miradi hii haiko kwenye bajeti na wala mpango wa utekelezaji wake hauko wazi je auditing yake itafanyikaje na itahojiwa kivipi wakati hakuna mpango ulio wazi juu ya miradi hiyo. Labda nimuulize mtoa mada ndege zinanunuliwa kwa pesa za nani na ni bei gani?

Nadhani kuna haja ya kuzisikilizi hizi hoja za wapinzani tunaweza tukapata kitu kidogo na si kuwabeza na kuwaziba midomo kwa namna tunavyojua sisi
 
Sioi Sumari, Lowassa, Seth, Rugemalila, Sumaye, Kitilya, Jamal Malinzi, Kabourow Na Evans Aveva!

Tayari 10 hao
Hahaahhaaaaaaaaaaa,naona unakwepa kwepa majina fulani!Vp hawa mbona hawajaingia kwenye top ten yako?
-Chenge,Tibaijuka,Ngeleja,JK,Mkapa,JPM,Mkono, na Mramba?
Au unasubiri wahame vyama ndio uwataje?
 
Kila Mtu Na top ten yake

Au ulitaka nitaje top ten yako?
 
Sioi Sumari, Lowassa, Seth, Rugemalila, Sumaye, Kitilya, Jamal Malinzi, Kabourow Na Evans Aveva!

Tayari 10 hao
Ni kwanini Lowasa na Sumaye wako huru badala ya kuburuzwa katika mahakama ya mafisadi ambayo majengo yake mmeamua kufugia popo??
 
Kila Mtu Na top ten yake

Au ulitaka nitaje top ten yako?
Hapana,ila nilipokuuliza hilo swali nilijua tu utaegemea wapi!Najua lowassa na Sumaye wakirudi CCM top ten yako itakuwa na adjustments!
 
Kila Mtu Na top ten yake

Au ulitaka nitaje top ten yako?
Swali la ziada!Naona wote uliowataja walifanya ufisadi wakiwa CCM au walishirikiana na wanaCCM!
Hii inaonesha huwezi kufanya ufisadi nje ya ccm!!!
Je,huoni kuwa pengine awamu hii ikitoka tutayajua mafisadi mengine yaliyoko ccm?
 
Wanapinga huku wakipita kwenye hayo mabarabara na madaraja? Pia na ndege wanapanda? Mashenzi hayo. Yapotezee!!!!!1
Barabara gani alizojenga huyo, oh sorry kuna ile ya Mwenge-Morocco
 
Hayo mafisadi yameshindwa kuwalipa wakulima wa korosho stahiki zao, sasa wanafanya kazi ya kudhulumu tu
 
Utafiti makini na wa kina uliofanywa na team ya wadadisi makini wa mambo ni kwamba mafisadi, majizi, majitu yenye husuda na chuki dhidi ya nchi yetu ndani na nje ya Nchi yameungana pamoja dhidi ya Magufuli kuhakikisha kwamba hafanikiwi katika dhamira yake ya kuileta Tanzania tuitakayo. Ishara kuu ya majitu haya ni kupinga kila zuri analofanya JPM. Kumkatisha tamaa na kum frustrate ndio mana kila anapofanya zuri mfano kuzindua barabara ya njia nane yenyewe yanapinga, akizindua daraja la kupita majini yenyewe yanapinga, akijenga madaraja ya juu yenyewe yanapinga, akinunua ndege mpya yenyewe yanapinga....Magu yeye asiyumbe. Ashikilie hapo hapo.

Huu utafiti wa kisayansi siyo huo kwa kwenye vijiwe vya gongo.

vilaza.jpg
 
Utafiti makini na wa kina uliofanywa na team ya wadadisi makini wa mambo ni kwamba mafisadi, majizi, majitu yenye husuda na chuki dhidi ya nchi yetu ndani na nje ya Nchi yameungana pamoja dhidi ya Magufuli kuhakikisha kwamba hafanikiwi katika dhamira yake ya kuileta Tanzania tuitakayo. Ishara kuu ya majitu haya ni kupinga kila zuri analofanya JPM. Kumkatisha tamaa na kum frustrate ndio mana kila anapofanya zuri mfano kuzindua barabara ya njia nane yenyewe yanapinga, akizindua daraja la kupita majini yenyewe yanapinga, akijenga madaraja ya juu yenyewe yanapinga, akinunua ndege mpya yenyewe yanapinga....Magu yeye asiyumbe. Ashikilie hapo hapo.
Binaadam haachi kusema, Magu aendelee na kazi yake.
 
Tatizo mmezuia siasa mnataka nyie tu ndo msikilizwe. Acheni wengine watoe maoni yao mbadala.
 
Utafiti makini na wa kina uliofanywa na team ya wadadisi makini wa mambo ni kwamba mafisadi, majizi, majitu yenye husuda na chuki dhidi ya nchi yetu ndani na nje ya Nchi yameungana pamoja dhidi ya Magufuli kuhakikisha kwamba hafanikiwi katika dhamira yake ya kuileta Tanzania tuitakayo. Ishara kuu ya majitu haya ni kupinga kila zuri analofanya JPM. Kumkatisha tamaa na kum frustrate ndio mana kila anapofanya zuri mfano kuzindua barabara ya njia nane yenyewe yanapinga, akizindua daraja la kupita majini yenyewe yanapinga, akijenga madaraja ya juu yenyewe yanapinga, akinunua ndege mpya yenyewe yanapinga....Magu yeye asiyumbe. Ashikilie hapo hapo.
Tuko nae muda woote,yeye ndiye rais na mkombozi wetu.
 
Back
Top Bottom