Hahaaaaaaaaaa...is it real??
Hv kama wasomi wanaamini uchawi..vp kwa wasiosoma kabisa?
Andika vixuri basi kwa kituo ili tukuelewe. Umeandika kwa haraka mno!Uteuzi wa magofuli sio kwamba ndivyo ilipangwaHaikuwa hivyo hata kidogooo kamati kuu ilikuja na majina matano lknHuku alimashauri kuuIkimtakaa lowasa.Na lengo la kamati kuu ni kwamba membeapewee nafasi hiyoLknHuku alimashauri hawamtaki membeNdipo wajumbe wakataka majina yote 38 yawekwe mezani na alafu lipigiwe kura moja baada ya jingineeeNdipo meza kuu ikasema haiwezekaniNa halmashauri kuu ikasema na hayo majina hawayatakiWakasema hawajatenda hakiWakaenda mbali zaidi Wakasema hata waziri mkuu tano bora hayumoo. Hata makamu nae hayumooHilo likawa tatizoKuongeza majina pakawa na mvutanoPakawa na mjadala mnooMkuu akamtakaa sana membee pamoja na wale wazee wakeWajumbe hawatakiiUkumbi ukalipukaa atokeeeAtokeee atokeeeeeeBasi akatokaa kwa shinikizooMajina yakabaki manneSasa ikijaaa sifa ya kila mmoja ndipo shughuli ikawa hivyooLknKwenye nyuso zao zinatabasamuLkn moyoni hawaamini kama ndivyo ilivyooo huku wakicheki na nguvu ya upande wa piliAnyway siasa ni maajabuuSasaKuna mpyaa itakujaa soonTusubir
January ukoo wao wote hadi Mzee wao wao hiyo imani haibanduki kwao ni Kama Membe pale wizara yake wote wanajua kuwa imani yake ni mganga kwanza kisha mengine baadae .
Ni kweli kabsa unachosema lakini ujue huo mvutano huo ulichochewa sana na fitna za Membe.intelligence yao ilikuwa ina deal na team membe, mwandosya na makongokoro wakasahau kila mtu alie chukuwa form ni threat kwao wakazidiwa ujanja na intelligence ya jk iliweza kudukua taarifa kutoka kwao lakini wao wakashindwa kudukua taarifa kwa intelligence ya jk mwisho wa mchezo makombola ya s-300 ya jk intelligence yakaidungua ndege yao na kwa vile walikuwa awana plan B bt jk intelligence walikuwa na mpaka plan D plan A ilikuwa membe plan B ilikuwa magufuli plan c ilikuwa January na plan D ilikuwa migilo bt plan B imeshinda
Hivi magazeti ya Rostam yatabeba ajenda gani sasa baada ya mtu wo kutolewa?Jamani tuache maneno na kejeli, Team Lowassa wameshindwa, tena wameshindwa vibaya. Walijipanga vizuri sana kuliko kambi yoyote ile ya wagombea CCM, Lakini kila mtu ameona nini kilichotokea, haikuwa siasa iliyowafanya washindwe, bali Zengwe Zitto, Goli la Mkono.
Mipango yote ya Team Lowassa inategemea sana mwelekeo wa Lowassa mwenyewe, kama mwenyewe yuko kimya, msitegemee kuna mtu yoyote wa Kambi yake atakuja na issue yoyote ya maana.
Mahali popote Team ikishindwa hali inakuwa kama Msiba, mambo yote yanavurugika kabisa. Jambo kama hili lilimpata pia Kikwete 1995.
Busara pekee ni kukaa kimya na kumalizia issue kimya kimya.
Litakuwa ni jambo la ajabu kabisa kama Team Lowassa hawakuwa na Plan B, hata mimi nitashangaa sana. Sometimes kukubali kushindwa nako kunaweza kuwa ni Plan.
Kushindwa kubaya sana. Poleni Team Fisadi Lowassa, hiyo ndio CCM na CCM ina wenyewe!!
alafu mtu kama huyo ndio akija kanisani msikitibu kwenye harambee au ibada wanampa siti ya mbele na wanamruhusu panda madhabahuni...
Lowasa hajatumia pesa zake toka mfukoni pesa nyingi alichangiwa na marafiki isitoshe Lowasa ni tajiri ana Mali nyingi hawezi kuchoka ataishi maisha ya kushiba bila njaa Kama Raila Odinga , wafuasi wa Lowasa wengi sasa wamehamia kwa magufuli kwani Adui wa Lowasa alikuwa Membe na sasa Membe kakatwa wameamua kumuunga mkono magufuli hawaendi kokote.
Niko ninajieuliza kwamba, kwa kuwa hii team kwa muda mrefu imekuwa inatoa misaada misikitini na makanisani kabla ya uteuzi; je sasa baada ya uteuzi timu hii itaendelea na utoaji misaada misikitini na makanisani ili kuwe na mwendelezo ili watu wasije sema kwamba ile misaada ilikuwa ya kutafuta urais tu.
Timu Lowasa kwa kweli wamefurahia Membe kukatwa kwani Membe alitumia mabilioni ya Gadafi kuajili Timu kubwa ya kumchafua Lowasa na Lengo la Membe ilikuwa akiwa Rais lazima angemkomoa Lowasa kwa kuwafunga jela Timu nzima yote, sasa wapambe wa Lowasa wapo kwa Magufuli baada ya kusherekea kuanguka kwa Membe.
Kingunge ndie alikuwa kansa ktk safari ya matuamini.Ni wazi hii ndio team pekee iliyokuwa na rasilimali fedha na watu lakini ilikosa uongozi au weledi.Hilo linaonekana mpaka sasa kwa kuwa baada ya kukatwa team hii imepagawa na kuchanganyiwa kabisa.1-Kuna kundi limechana kadi za ccm.2-Kuna kundi limetangulia ACT3-Kuna kundi limebaki kimya ndani ya ccm4-Kuna kundi limemsapoti magufuli5-Kuna kundi linatishia kwenda CDM6-Kuna kundi halijulikani linafanya nini Bashe yuko kimyaa!Kingunge yuko kimyaa!Nchimbi,Simba na Kimbisa hatukusikia kama waliwasilisha ile rufaa yao au la.Yale mabasi ya Team lowassa hayajulikani yalipo yaani ni full chaos.Hii ni ishara tosha ya kutokujipanga kwa Team hii.kwa upande wa Team membe bado ni watulivu
Niko ninajiuliza kwamba, hii team kwa muda mrefu imekuwa inatoa misaada misikitini na makanisani kabla ya uteuzi. Je sasa baada ya uteuzi timu hii itaendelea na utoaji misaada misikitini na makanisani ili kuwe na mwendelezo ili watu wasije sema kwamba ile misaada ilikuwa ya kutafuta urais tu.