Ameshakatwa.Ni wazi hii ndio team pekee iliyokuwa na rasilimali fedha na watu lakini ilikosa uongozi au weledi.
Hilo linaonekana mpaka sasa kwa kuwa baada ya kukatwa team hii imepagawa na kuchanganyiwa kabisa.
1-Kuna kundi limechana kadi za ccm.
2-Kuna kundi limetangulia ACT
3-Kuna kundi limebaki kimya ndani ya ccm
4-Kuna kundi limemsapoti magufuli
5-Kuna kundi linatishia kwenda CDM
6-Kuna kundi halijulikani linafanya nini
Bashe yuko kimyaa!
Kingunge yuko kimyaa!
Nchimbi,Simba na Kimbisa hatukusikia kama waliwasilisha ile rufaa yao au la.
Yale mabasi ya Team lowassa hayajulikani yalipo yaani ni full chaos.
Hii ni ishara tosha ya kutokujipanga kwa Team hii.
kwa upande wa Team membe bado ni watulivu
Uliwahi kusikia wapi jeshi lisambaratishwe halafu wapiganaji na majemadari wabakie kuwa sehemu ile ile au kuwa kikundi kimoja? Kila kiumbe hukimbilia po pote kunusuru uhai.
Mbona walikuwa na vitisho sana ukianzia ns babu yao kingunge?
nyani haoni kunduleJamani tuache maneno na kejeli, Team Lowassa wameshindwa, tena wameshindwa vibaya. Walijipanga vizuri sana kuliko kambi yoyote ile ya wagombea CCM, Lakini kila mtu ameona nini kilichotokea, haikuwa siasa iliyowafanya washindwe, bali Zengwe Zitto, Goli la Mkono.
Mipango yote ya Team Lowassa inategemea sana mwelekeo wa Lowassa mwenyewe, kama mwenyewe yuko kimya, msitegemee kuna mtu yoyote wa Kambi yake atakuja na issue yoyote ya maana.
Mahali popote Team ikishindwa hali inakuwa kama Msiba, mambo yote yanavurugika kabisa. Jambo kama hili lilimpata pia Kikwete 1995.
Busara pekee ni kukaa kimya na kumalizia issue kimya kimya.
Litakuwa ni jambo la ajabu kabisa kama Team Lowassa hawakuwa na Plan B, hata mimi nitashangaa sana. Sometimes kukubali kushindwa nako kunaweza kuwa ni Plan.
Kushindwa kubaya sana. Poleni Team Fisadi Lowassa, hiyo ndio CCM na CCM ina wenyewe!!
Wengi kwenye kundi hawakuwa coninced kabisa. Walifuata pesa. Kama mchezo umeisha wafanye nini zaidi. Nchimbi keshato pongezi kwa Magufuli.
It might be a blessing in disguise kwa Lowassa. Apate muda wa kuangalia afya yake!
Ni wazi hii ndio team pekee iliyokuwa na rasilimali fedha na watu lakini ilikosa uongozi au weledi.
Hilo linaonekana mpaka sasa kwa kuwa baada ya kukatwa team hii imepagawa na kuchanganyiwa kabisa.
1-Kuna kundi limechana kadi za ccm.
2-Kuna kundi limetangulia ACT
3-Kuna kundi limebaki kimya ndani ya ccm
4-Kuna kundi limemsapoti magufuli
5-Kuna kundi linatishia kwenda CDM
6-Kuna kundi halijulikani linafanya nini
Bashe yuko kimyaa!
Kingunge yuko kimyaa!
Nchimbi,Simba na Kimbisa hatukusikia kama waliwasilisha ile rufaa yao au la.
Yale mabasi ya Team lowassa hayajulikani yalipo yaani ni full chaos.
Hii ni ishara tosha ya kutokujipanga kwa Team hii.
kwa upande wa Team membe bado ni watulivu