H7N9
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 311
- 80
Toka nazaliwa hadi nakuwa kijana hadi umri wa uzee wangu nimejifunza mambo mengi sana hasa ya kijamii pengine kuliko mtu mwingine yoyote na ndiyo maana Niko hapa kuwaulizeni team lightskin mko wapi?hili ni swali na pengine litawagusa sana dada zangu ambao Kwa wingi wao ndio mwenekano wanaoupenda mwanamke au mwanaume mwenye mwenekano huu huwa wanajiona tofauti sana na wenzao kitabia na mambo mengine.darkskin ndiyo wengi wanaopendelea sana kuwa na lightskin skin Kwa sababu wanaamini ndiyo kwenye mvuto zaidi na toka enzi zile walitumia vibodozi vyenye kemikali kuwafanya kuondokana na mwenekano usiowapendeza hadi Leo wanaendelea kutumia carolight mm cjui nini tofauti ya hawa wenye light na hao dark skin kuna ambacho kinamwongezea mmoja thamani na kumpunguzia mwingine thamani naomba mchango wako uwe na lightskin kama nifah au darkskin kama Faiza foxy.