Mimi darasa la saba, vipi haturuhusiwi kuunda team yetu?
Mi nashauri wewe ndo uwe mwenyekiti wao...
Mi nashauri wewe ndo uwe mwenyekiti wao...
Kwan hao unaowazungumzia wametokea sayari gani?Hawajawah kuwepo ktk jamii yetu huko miaka ya nyuma?Kwa nn tuwajadili leo hii,kuna nn special ndan yao?Pamoja na maswali hayo,nikupongeze kwa walau kwa kufika kidato cha sita,kwani nyie ndo "wa kwanza",kuifikia hatua hyo hapa nchini!
Sasa mbona mambo yako na yao yanaendana?sina sifa za kuwa mwenyekiti, labda mlezi wao.
binafsi hiyo level nimeivuka 2003.
Sasa mbona mambo yako na yao yanaendana?
Nipo na mimi tuunde teamformseven
Sasa mbona mambo yako na yao yanaendana?
Acha tu mi sioni tofauti yake na yao...Chezea mwalimu wewe, kwa hiyo ushagundua cognitive age yao iko sawa....lol.
Acha tu mi sioni tofauti yake na yao...
Sasa mbona mambo yako na yao yanaendana?
Nipo jf....kama uwezo wako ni mdogo tofauti utaionaje?
hivi upo Singida au Dodoma.?