#TeacherBae

Yani kwa jinsi alivyo unapitiliza moja kwa moja chumvini kama mwehu mpaka uambiwe subiri kwanza....then unatoa mshangao domo wazi kama style ya steve harvey's mandingo. Dah!!
 
Anamfundisha Mayweather kusoma ni kweli?Alishaacha kazi. [HASHTAG]#TeacherBae[/HASHTAG]
 
Watu wamezoea kuona walimu wakivaa magauni oversize, mbona kawaida tu hapo....
Madame B nawe unavaa hivi au unatupia vitu oversize
 
Watu wamezoea kuona walimu wakivaa magauni oversize, mbona kawaida tu hapo....
Madame B nawe unavaa hivi au unatupia vitu oversize
Mpaka nilipelekwa Utumishi, kisa nawatega wanafunzi kwa mavazi.
Wakaniambia "vaa kiheshima, usidhani bado uko Casino New Africa Hotel hapa".

Wengine hata tuvae magunia.
Hebu watupishe sie.
Mie ndo wamesema mpakaaa.
Kizazi kipya hiki....na hivi nilivyo ndo kabsaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…