Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,091
- 136,650
Hapo juzikati kuna mwanadada mmoja aitwaaye Patrice Brown, mwalimu wa darasa la nne jijini Atlanta, USA alibandika picha yake moja kwenye mtandao wa 'Gram [that's Instagram for you dunderheads] ya kigauni alichonyuka na kwenda nacho kazini.
Halwoho! Picha si ikazua sokomoko huko hadi kutungiwa hashtag yake [[HASHTAG]#teacherbae[/HASHTAG]] kwenye mtandao wa Twitter ambayo ili trend kwa siku mbili tatu hivi.
Mambo ya kileo hayo. Kitimtim kinaanzia 'Gram halafu kinashika kasi Twitter!
Kama ilivyo ada ya mitandao ya kijamii, suala kama hilo lazima lilete safu [anuwai] ya maoni mbalimbali.
Wapo waliomponda na kusema hicho kivazi hakifai mbele ya wanafunzi wadogo wa darasa la nne, wapo ambao hawakuona ubaya wowote ule [kama mimi wenu mtiifu], na kadhalika.
Ila kusema ukweli mimi walimu kama Ms. Brown ndo hunifanya nipate mzuka wa kuhudhuria mikutano ya PTA!
Hivi mtu unaanzaje kushindwa kwenda kwenye PTA huku ukijua kuna viumbe tunu kama Ms. Brown?
Hata mwanao anaweza kukushangaa na hata kutokukusamehe kabisa!
Haya twendeni kazi....huyu ndo Ms. Brown bana....ana ushepu unaoitwa 'hourglass'.