Te Amo, Asprin, Fidel 80 na Klorokwin | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Te Amo, Asprin, Fidel 80 na Klorokwin

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Bujibuji, Jun 7, 2011.

 1. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 29,524
  Likes Received: 9,931
  Trophy Points: 280
  Waheshimiwa mabalozi wa maji yaletayo raha na burudani mwilini, naomba niwaulize swali, je ni kwanini pombe za kunywea nyumbani hazinogi hata lkama kuna marafiki, kitimoto na matusi juu?
   
 2. Humphnicky

  Humphnicky JF-Expert Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 1, 2010
  Messages: 1,619
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Buji usijisahaulishe miungu minne marafiki wa karibu. Pombe, nyama, sigara na wanawake nasty. Ni lazima vyote viwepo ili raha kamili ipatikane
   
 3. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  ulevu nomaaaaaaaaaaa
   
 4. Dr.Chichi

  Dr.Chichi JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 2,320
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Nyumbani kelele za wife zinaondoa stimu ya kinywaji
   
 5. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  waifu wako jenereta la kufua umeme?
   
 6. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,753
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  hivyo enhe
   
 7. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,237
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Raha ya tungi uone na midude(mademu) wanapita accross! Hom unakuwa na presha, washkaji wasijemtaman wife wako! Kwa mantik hiyo pombe haiwez noga
   
 8. Kaunga

  Kaunga JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 12,581
  Likes Received: 742
  Trophy Points: 280
  Naenjoy a glass of wine home kuliko Bar!
   
 9. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 38,475
  Likes Received: 3,356
  Trophy Points: 280
  Nyumbani kuna watoto, baada ya kilevi watasikia yasiyostahili kusikika!
   
 10. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,308
  Likes Received: 218
  Trophy Points: 160
  LOl :becky:
   
 11. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 27,692
  Likes Received: 2,777
  Trophy Points: 280
  Hilo nalo ni neno, ongezea "Hata mkwe wa nyumbani hanogi hata ............................"
   
 12. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  hao uliowataja wote hawanywei nyumbani eeh?..lol.
   
 13. Kiranja Mkuu

  Kiranja Mkuu JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 2,101
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hukijui chama cha infidelity na mabosi wake?
   
 14. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 45,281
  Likes Received: 10,905
  Trophy Points: 280
  Kwanini hatupigii mitungi home?

  1. Home hakuna mabaamedi....huwezi mwambia mkeo......we ma**ya ongeza bia hapa (talaka si kitu kizuri)
  2. Home hakuna kaunta..... raha ya biya unywee kaunta, walevi hawaangushani kaunta
  3. Home hakuna meneja, kuna raha sana kumshtakia mhudumu kwa meneja........unapata heshima bar
  4. Home hakuna keep change.........heshima ya mnywaji ni kumwachia mhudumu keep change
  5. Home hakuna kutwangana makwenzi
  6. Home hakuna kucheza na kujiimbia kwa sauti biya inapokuwa imeshika kasi
  7. home hakuna pool table
  8. Home hakuna chemba ya kutongozea kina Eliza
  9. Home hakuna vinywaji tofauti tofauti, bia zikijaza matumbo hwa tunahamia kwenye valuu, red labe, nyagi na shangazi zao
  10. Nyumbani kuna watoto, bia imeandikwa: Hairuhusiwi kwa binadamu mwenye umri chini ya miaka 18.
  11. Home hakuna vyoo vya wanawake.........tunashea vyoo, inaweza sababisha ajali na watoto wetu...
  Listi itaendelea, ngoja nikazimue...damn Guinness!!!:majani7::majani7::majani7:
  5.
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,223
  Trophy Points: 280
  Badala yaa kuangalia vibindankoe
  unaangalia TV....
   
 16. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,223
  Trophy Points: 280
  Badala ya kusikiliza "banjuka tu"
  unasikiliza "twinkle twinkle little star"
   
 17. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,045
  Likes Received: 2,223
  Trophy Points: 280
  Hahahhahh babu
  nimependa number 10
   
 18. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  L....o.....l... Ukimalza kuzimua uje useme na wanawake kunywea bar, je na wao wanafwata nini?..
   
 19. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,984
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  Sikijui KM.
   
 20. Askofu

  Askofu JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 14, 2009
  Messages: 1,668
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 133
  Hongera babu,
  nasikia siku hizi unaenda kanisani
  ubarikiwe sana
   
Loading...