Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,059
- 6,714
malipo ni kwa njia yakununua vocha ama ni M PESA?
Ahsante nashukuruUnapata bila shaka kabisa.
Mpesa au Tigo pesa angalia hapa chini Madammalipo ni kwa njia yakununua vocha ama ni M PESA?
Ss km umehitimu la saba diploma ya nn mkuuMsaada kwenye tuta wapendwa: mie sikubahatika kwenda shule nilihitimu darasa la saba tu: shida yangu naomba mnisaidie kuwa hata wanaomba diploma nao wafungue hicho kitabu cha mwongozo cha TCU au wao wataomba kozi kwa utaratibu upi? naomba ushauri wa kujenga wazee, msinikejeli please!
Subir nacte wakifungua uta unga hkoMsaada kwenye tuta wapendwa: mie sikubahatika kwenda shule nilihitimu darasa la saba tu: shida yangu naomba mnisaidie kuwa hata wanaomba diploma nao wafungue hicho kitabu cha mwongozo cha TCU au wao wataomba kozi kwa utaratibu upi? naomba ushauri wa kujenga wazee, msinikejeli please!
natafutia nduguSs km umehitimu la saba diploma ya nn mkuu
Soma guidebook 2016/2017 ww una vigezo apply huna fanya plan nyengne 3 zipo za aina nyingi inaanzia 13 to....... Km unahisabu division utakuja kulia chuo unaenda kwa principal pass and point stop confuse ur mindJaman naskia waliopata division three wanaenda diploma je ni kweli? Nakama nikweli wanaombaje admision maana nacte ilishafunga. NAOMBA MWENYE UFAHAMU JUU YA HILI ATUJUZE KIDOGO.
electrical dit usimshauri,atatoka damu aiseee.Kuna mdogo wa kike anataka achague course,ana ECE_PCM,alitaka achague
1.Water system and irrigation eng chuo cha maji ubungo
2.Water tena Sua.
3.Architecture_ARIDH
4.Electrical _DIT
5.Chemical processing eng_udsm
Sijui atapenya maana kakataa kabisa kuchagua education.
Target yake ni course namba 1.Ushauli muhimu mkuu.
bachelor ipo ila ni civil pekeakeInamaana Arusha Technical College (ATC) wanachukua diploma 2??, maana sikioni hapo, Msaada wadau.
Atatoka damu kwa reason ipi mkuu,mtu anaomba curse tano anachaguliwa moja tu mkuu.electrical dit usimshauri,atatoka damu aiseee.
umeme dit anaeza soma hat amiaka 7Atatoka damu kwa reason ipi mkuu,mtu anaomba curse tano anachaguliwa moja tu mkuu.
Hesabu point zako kabla hujauliza na ukumbuke minimum qualifications ni point 4Mwenye DDF kwa HKL-2016, ataweza pata chuo?
Msaada wenu tafadhali
Watanzania na hasa hiki kizazi hawataki kusoma, tena hicho guide book ilivyo ndefu na wengi kizungu hakipandi ndio panapoanzia uvivu wa kusoma, wanataka watafuniwe tu.Nimesomu huu uzi nimegundua kabisa watu wengi hawajasoma guide book na hawataki kusoma sasa sijui ni kutokana na kushindwa kuwa na computer!
Ngoja nitafute muda ni wawekee kitabu chote humu page kwa page...