cariha
JF-Expert Member
- Apr 9, 2015
- 22,077
- 46,336
GPA ya udsm kubwa sana bila kujali course na kwanini afya zishuke hvo wakati ni Mambo sensitiveHabarini wana JF,
Husikeni na mada tajwa hapo juu, kiukweli nimeipitia guide book ya mwaka huu 2020/2021 nikagundua mabadiliko mengi ya vigezo vya cut point za kusomea kozi za afya ukilinganisha na miaka iliyopita 2019 kurudi nyuma.
Kwa upande wa form six holders ipo hivi:
Kwa upande wa diploma holders wanaotaka kuapply wanaotaka kuapply kozi za afya wamepewa bata kubwa sana yani vigezo vya GPA vimeshuka kutoka GPA ya 3.5 hadi gpa ya 3.0 kwa kozi zote za afya.
- Kozi ya medical doctor kwa sasa imeshushwa na kuwa point 6 (with minimum of D in chemistry) ambapo mwaka jana ilikuwa point 8.0 (with minimum of C in chemistry)
- Kozi ya veterinary medicine imepandishwa na kuwa point 4.5 ambapo mwaka jana ilikuwa 4.0
- Kozi ya biotechnology and laboratory science ya pale sua imepanda na kuwa 4.5 kutoka4.0
Tupeane mawazo wakuu imekaaje hii na je ni vitu gan vingine au kozi gan nyingine zilizoshushiwa au kuongezewa point. Hapo chini ni TCU guide books za form six holders na diploma holders kwa mwaka wa masomo 2020/202.
NawasilishwaView attachment 1512466View attachment 1512467