TCU 'wazishukia' shahada za heshima!

Hivi IQ ya JK iko sawa?
Anajisikiaje kuitwa Dr. wakati hajasomea?
Hivi ataweza kweli kujibizana na Dr. Slaa ikitokea wakaitwa kwenye Mdaholo?
Kukubali kuitwa Dr. wakati huna hiyo Doctorate ?Na watu wanao mwita wanajua naye ni Kihiyo...kwanini akubali kuchezewa hivi?
January Makamba, hebu mshauri huyu jamaa yako , hata kama mnamtumia kukwea kwenye anga za siasa, hii imepita mpaka.
Mheshimuni basi....kwa kumshauri kwamba wanaokuita dakta wana lao jambo.....wanakufanya zuzu ili wakuibie vizuri.....
 
binafsi nashauri zifutwe. Kwani kupata PhD sio mchezo, watu wamezisotea halafu mwengine anapewa tu. Mimi nadhani waone hata aibu.
 
Hao tcu wambea si ndio waliwakana wakina m.....wakti wakijitambulisha na kitabu chao
nafikiri kukimbilia nje wamechelea waanze na zile za kuvua c****i pale udsm law
then wakimbilie huko nje
 
Hiyo attachment imeongea ukweli, lakini unaowez kumwangamiza mwandishi, kama hayuko careful akiulizwa atoe evidence kwa hizo honorary degrees za pesa ataweza? Kwa nini aweke kwenye maandisjhi kitu kama hiki? Yaani ana-accuse hadi presidents,... lol!
Yaonya watanzania kuwa makini:
- Nyingi zinatolewa na vyuo visivyotambulika wakiwalenga zaidi watu maarufu wakiwamo marais wa nchi za kiafrika
- Mara nyingi zinatolewa kwa manufaa ya vyuo husika
- Nyingine zinapatikana kwa kubadilishana na fedha
 
Back
Top Bottom