Ni hatari
wale wa 3rd round Angalia profile yako kama umechaguliwa au la...
goodluck kwa wale wa 4th round mpate vyuo..
wale wa 3rd round Angalia profile yako kama umechaguliwa au la...
goodluck kwa wale wa 4th round mpate vyuo..
ntajuaje kama nmechaguliwa ama la mana naingia kwenye profile yangu sioni taarfa ya 4th round applcatn wala kama nmechaguliwa zaid ya row yeny code.institution.priority.selected?(by tcu).admitted?(by institution) patupu bila ya kujazwa izo sehemu so sijui inamaansha nn???
kama ni waiting for approval usiwe na wasiwasi maana hata wa 1st round ni hivyo hivyo cha msingi angalia jina lako kwa chuo ulichochaguliwa provisionally.mbna mi cjaona changes zozote zaid ya waiting for aprov vip jamaa mwenye changes atujuze mana nipo dilema
ukiona hivyo ujue ndo umechaguliwa...
ila kwa sasa bado system yao inasumbua kudispay chuo ulichopangiwa na coz