TCU waweka round ya nne!

TCU waweka round ya nne!

Na nyie madogo m'mezidi kuchagua program za masomo kwa kufuata mikumbo .......vilaza wakubwa nyie.......kwanini usichague kitu cha passion yako........wewe chuo kinaoffer nafasi 300......unakuta maombi elfu mbili na wewe bado unaomba hapo hapo ......hizo ni akili au ni matope..........?!Habu tafuta course na chuo ambacho ni less kushobokewa.........chagua course yako kwa utulivu kabisa wewe na MUNGU wako kimya kimya ikibidi fanya ana ana doo.......Chagua kaa kimya uone kama utakosa.........sasa jitu likichagua linataka mtaa mzima wajue ameomba course gani na hapo bado halijafuata mkumbo kiwa wenzake aiomaliza nao wameomba wapi na wapi na wameomba nini..........!
 
Shida ipo kwenye mfumo asilimia kubwa kwetu ni kweli shida IPO lakini ni kwa asilimia ndongo MF unakuta empty sloti ni 124 mpaka dk ya mwisho unakuta bado 100 BT at ze end unakosa wanadai nafasi zimejaa kiukweli it izo unthinkable
 
ntajuaje kama nmechaguliwa ama la mana naingia kwenye profile yangu sioni taarfa ya 4th round applcatn wala kama nmechaguliwa zaid ya row yeny code.institution.priority.selected?(by tcu).admitted?(by institution) patupu bila ya kujazwa izo sehemu so sijui inamaansha nn???

Ingia TCU CAS
Search Students Selection
What Student Information do you have😛lease select one
Form four index number
E-mail Address
Mobile number
Form six index number
Ukishachagua mojawapo kati ya hizo option nne una click search itakuletea chuo ulichochaguliwa provincinally
NB:Hizo option nne hapo juu iwe ni mojawapo ya uliyojaza kwenye Registered Applicants Login Forms.
 
Jamani ata mm nimuhanga cjui nifanye nn cozi Nina GPA ya 2.7 PCB BT cjachaguliwa chuo chochote up to now even private na nilijaza education kwa sana du hata him cjawaambia

unataja combination yako ili upate nini .wewe umefeli hata kamaPCB
 
Unapoomba msaada yu need to be open kama nimekuboa very sory
 
dah, upo kama mimi ndugu yang, hakuna jinsi tusubr tu mwakan, au kama utaweza kwenda diploma afya itakuwa vzur zaid.
daaah nichek kwa namba hii tushauriane n bora tuende diploma mkuu 0672038870 nitafte plz tuone la kufanya
 
Kwa mujibu wa haya matokeo next year wanaweza perform more kuliko haya soo kuhairisha mwaka may not be the best solution ni heri kama unapenda uanze diploma kwa course ya afya unayopenda au ubadilishe mwelekeo tuu kwa fani nyingne kama bussiness coz ni watu wengi wamekosa na kufanya maamuzi magumu kama hayo na sio kuhairisha mwaka no ukikosa lets say bahati mbaya next year utahairisha tena come on_some times you have to let it go huwezi jua uliandikiwa nn ila kaa chini ufanye maamuzi sahihi

daaah diploma ya afya xoma medical officer naweza nkapata???
 
daaah diploma ya afya xoma medical officer naweza nkapata???

Sina ufahamu wa hayo masuala ya diploma tungeuliza kwa wanaojua lakini kama intake bado zinafanyika kwa wa diploma waweza jaribu ku apply sababu matokeo sio mabaya am sure na o lvl you did well.Give it a try na uulize kwa experts
 
Inauma sana na kila mwaka ufaulu unaongezeka ila kwa waliokosa vyuo dont lose hope coz kile Mungu alikupangia hakuna wa kupangua ni muda tu haujafika.poleni sana ndugu zangu.
 
Kwa mujibu wa haya matokeo next year wanaweza perform more kuliko haya soo kuhairisha mwaka may not be the best solution ni heri kama unapenda uanze diploma kwa course ya afya unayopenda au ubadilishe mwelekeo tuu kwa fani nyingne kama bussiness coz ni watu wengi wamekosa na kufanya maamuzi magumu kama hayo na sio kuhairisha mwaka no ukikosa lets say bahati mbaya next year utahairisha tena come on_some times you have to let it go huwezi jua uliandikiwa nn ila kaa chini ufanye maamuzi sahihi

Kwa taarifa za uhakika Wazir wa elimu Dr Shukuru Kawambwa amesema mpango wa mwakani ni kuongeza ufaulu Zaid ya mwaka huu, hii ndo brn... mtafakari na mchukue hatua haraka iwezekanavyo
 
Kwa taarifa za uhakika Wazir wa elimu Dr Shukuru Kawambwa amesema mpango wa mwakani ni kuongeza ufaulu Zaid ya mwaka huu, hii ndo brn... mtafakari na mchukue hatua haraka iwezekanavyo

Anapanga ya mwakani....ana uhakika atakuwa waziri tena.
 
unazngua acha upumbavu kila kitu BRN acha ujinga we ulipata ngap au unatak kufananisha 4 yako na one ya brn pumbavu kweny certificate inaandikwa distinction peke yake hamna BRN haiko kwny certificate
 
Hii Kweli ndo bongo!! kuna uwezekano wa kuwepo round ya 5,6,7,8,9,10,11,12,13,14,16,17,28,19,20,21...........................10000 !!
 
Back
Top Bottom