Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,210
- 20,954
Anapanga ya mwakani....ana uhakika atakuwa waziri tena.
Wazir akishasema tayar inaingia moja kwa moja kwenye mipango ya serikali kinachobaki ni utekelezaji tu.
Anapanga ya mwakani....ana uhakika atakuwa waziri tena.
unazngua acha upumbavu kila kitu BRN acha ujinga we ulipata ngap au unatak kufananisha 4 yako na one ya brn pumbavu kweny certificate inaandikwa distinction peke yake hamna BRN haiko kwny certificate
BRN form six Matokeo ya kubebwa wajazana vyuoni na vichwa vyao vibovu,tuliofaulu ni sisi wa enzi za nyuma ninyi ampaswi kujisifu bumbavu.
unazngua acha upumbavu kila kitu BRN acha ujinga we ulipata ngap au unatak kufananisha 4 yako na one ya brn pumbavu kweny certificate inaandikwa distinction peke yake hamna BRN haiko kwny certificate
Oiii wadau profile zenu za tcu zinafunguka
WAdau selctn za raund ya 4 VP
Mm profofile lang halfngk
wakuu nimechaguliwa IFM kozi ya bachelor of science in social protection sasa nataka nifanye transfer kwnd chuo kingine na pia nibadilishe kozi huko ninakotaka kwenda je inawezekana na ni hatua gani natakiwa nianze kuchukua
Transfer unaeza fanya but mpaka ufanye yafuatayo!!
1:kuwa registered frst hcho chuo ulichopangwa.
2:Cheki entry points zako ukilinganisha na faculty hiyo unayotaka kwenda kama umekidh hapo then omba nafac directly hapo ktk hcho chuo unachotaka but uwe na admission letter toka ulikopangwa ili iwe evdenc ya kuwa regstrd.
3:kama wamekukubali;watakupa barua ya uthbtsho na faculty uliyopata wataandka;then utaenda nazo TCU;so TCU utaenda na barua mbili ya ulipopangwa na faculty yake pamoja na ulipopata nafac(chuo kngne) na fclty yenywe.
4:Then TCU wataifanya hyo transfer yako waitaji kwa muda uliozingatiwa.
5:KAMA vp ufanye transfer wkt Tcu watakapofungua soon dirisha hlo la uhamisho toka chuo kimoja kwnd kingn ya "first come;first served basis" HOPE UMENIPATA.
Kama unataka kuomba transfer usijisajili kwenye chuo ulichopangwa!
Taratibu za trasfer zitatolewa kwenye website ya TCU.
Tafadhali pendeni kuthibisha habari za JF kwenye vyanzo rasmi vinginevyo unaweza kukosea!