BRN form six Matokeo ya kubebwa wajazana vyuoni na vichwa vyao vibovu,tuliofaulu ni sisi wa enzi za nyuma ninyi ampaswi kujisifu bumbavu.
Hv hawa first year wa mwaka huu si ndo wale ambao NECTA ilitoa matokeo mara mbili ili kuwabeba kwa agizo la Pinda? R.I.P Tanzanian Education.
bora tusubir mwaka kesho mkuu maana no way outnikicheki fulcut zilizo bakia siioni hata moja ya sayansi nyingi ni education in art msaada wa mawazo tafadhari wadau
Jamani ata mm nimuhanga cjui nifanye nn cozi Nina GPA ya 2.7 PCB BT cjachaguliwa chuo chochote up to now even private na nilijaza education kwa sana du hata him cjawaambia
bora tusubir mwaka kesho mkuu maana no way out
Jamani ata mm nimuhanga cjui nifanye nn cozi Nina GPA ya 2.7 PCB BT cjachaguliwa chuo chochote up to now even private na nilijaza education kwa sana du hata him cjawaambia
naona hii system inazidi kupoteza ubora wake kila siku na kuzidi kuzima ndoto za watu kuna dogo hapa kitaa ameshakata tamaa ya kujaza tena na anadai bora aende hata diploma ya course za Afya.
je kwa sasa anaweza kufanya aplication ya diploma kwa course za Afya?