afanye kuclick pale kwenye CAS-HOME then ashuke kwa chini pale atakuta wameandika "search for selection results"ukiona hivyo ujue ndo umechaguliwa...
ila kwa sasa bado system yao inasumbua kudispay chuo ulichopangiwa na coz
Mbona kuna coz zilikuwa zinaonyesha kabisa kunafree chances na dongo wangu alifaulu vizuri tu mwaka huu na bado zote hakuna waliomchagua... mi kwa sasa nimemshauri asomee diploma ya nursing tu maana hakuna jinsi tena..
Yeah..wengi profile zao inaandika waitting for approvel,ila ukiangalia kwenye website ya chuo jina kama lipo ndo ushapata chuo....thats itkama ni waiting for approval usiwe na wasiwasi maana hata wa 1st round ni hivyo hivyo cha msingi angalia jina lako kwa chuo ulichochaguliwa provisionally.
kwani mkuu aliekosa chuo kweny profile anaandikwaje mana wengne hatuoni fclt tulzopata wala option ya 4th round....
kwani mkuu aliekosa chuo kweny profile anaandikwaje mana wengne hatuoni fclt tulzopata wala option ya 4th round....