TCU wanatutania Undergraduates?

ngomicom

Senior Member
Jul 6, 2012
123
19
Wapendwa katika Elimu, hawa TCU wanatutania ? Mbona kimya kimezidi na hii ni Almost mida muafaka? ama mimi ndo ninapressure za bongo. Kama wameshindwa kazi basi waviache vyuo vifanye kazi zake wasitake tu kulamba 30,000 zetu wanyonge!
 
yatatoka tu mkuu..kuwa na subra!!
 
breaking newz
Untitled.png
 
ngomicom dah kila mtu anahamu ya kujua alikopata but waamuzi ndio hao wanaozingua. Lakini lazima yatoke.
 
Last edited by a moderator:
Tuko ofisini 2nadiscuss tuweke heading gani ya kimombo au kiswahili ipi ina mvuto afu tunayaachia!!
 
Back
Top Bottom