TCU wameua ndoto yangu

TCU wameua ndoto yangu

Pole sana ndugu, watu wanakushauri uwende diploma ya clinical office nahisi vyuo vya serikali vitakuwa vimejaa. Lakin clinical office ni mzuri sana Kuna sister ang kaanza na clinical office baada ya kumaliza form six lakin alikaa mwaka 1 now day yuko muhimbili kabakiza mwaka 1 degree. Hakuna kukata TAMAA
Lakini kumbukeni diploma kuna kujilipia ada
 
Naomba kuelewa majibu yako ulipata D, D na C?

Pia waliopata grades za juu yako nao ulitaka iweje?

Je kwanini hujipi moyo kuwa pia labda ungesoma zaidi na kupata grades nzuri za juu ungeweza kusoma uliyotaka mbeleni? Labda sielewi wanachaguaje... ila nimeangalia na majibu pia.
 
nimeamua kuziangalia hizi course;

1.environment engineering
2. environment science and management
3. applied zoology
4. food science and technology

Sijui kama zitakuwa na manufaa kwangu huko mbele
 
Kama kuna Uzi umeniuzunisha ni huu ,pole Mdogo Wangu bado Mungu yuko na wewe kama mwaka huu imeshindikana jaribu mwakani ila tafuta cha kufanya kama kufundisha
 
Pole sana mdg wang, yalnkuta hayo nlpoamalza six 2013 Roho ilniuma sana bt baada ya counselling nyng nkaenda tu edn nkiwa na hope kuwa 3 yrs cyo ming na umr wang c mkubwa khvo coz six nlmalza na 20 saiz nshamalza hako kajiwe kamoja umr stll unaruhusu kwendelea na ndoto yangu, gud 4 me ntakuw na professional mbl iwapo ntaingia kwny Afya bt Mungu mkubwa kaGPA kangu c haba naona ndoto za kurud kwny Afya zshayeyuka coz nmekabahatsha kasponsorshp naendelea kukuruka na kamasters ka maswala ya chemistry (organic). vtu vngne vnakuja on de way achana na kuona mtaan watakuchukuliaje, nakumbuka mm hata lkz ya frst year ckurud mtaan kuogopa maswal ya unasomea nn, na nlshndwa diploma coz wazaz hawakuw na uwezo hako kaedn coz nlpewa 100% boom sometimes nlshow love kwao so maisha yalsonga, I hope even yu utakuw umr bado unaruhusu nakushaur go ahead achana na kukaa mtaan kuja kuapply next year hujui mwakan kutakuw na nn serikal ya ajabu sana hii.
Ila daah...Kama una-degree ya ualimu unaandika hivi...? Inasikitisha sana
 
dgo unaweza kujarib mwakani kama utaona diplm n mizinguo. hii ilintokea mm mwaka jana nkajikuta natupwa had 3rd round alaf kuchek coz za afya hamna nikaona bora niweke education but nikasoma miez2 ya semister ya1 duu nikaona hamna kitu nafanya coz haikua lengo langu. thanks God nimeapply this yr na nimepata nlichokitaka
Ulipata coarse ipi kk
 
Dahh ndo matokeo ya serikali ya kukurupuka effects zake ni maumivu kwa wanyonge.
 
Hebu quote klchoandkwa wrong hapo? au ndo ile tu naww uonekane umecriticise
Huko kwenye Bold..

Sidhani kama kuna Kiswahili cha namna hiyo....Jaribu kuitendea haki degree yako na hiyo Masters unayokwenda kuisomea..

Hapo kwenye Red..
Unapochanganya lugha mbili pamoja jaribu kuweka hyphen kutenganisha hizo lugha...
Umecriticise = ume-criticise


Good Morning
 
Huko kwenye Bold..

Sidhani kama kuna Kiswahili cha namna hiyo....Jaribu kuitendea haki degree yako na hiyo Masters unayokwenda kuisomea..

Hapo kwenye Red..
Unapochanganya lugha mbili pamoja jaribu kuweka hyphen kutenganisha hizo lugha...
Umecriticise = ume-criticise


Good Morning
Sawa mkuu Otorong'ong'o.
 
Back
Top Bottom