TCU wameua ndoto yangu

TCU wameua ndoto yangu

kama mkuu alivyosema hapo juu, hio ni wastage of time coz kama dream zake zilikua hizo kulikua hakuna haja ya kusoma A level angeenda tu moja kwa moja Diploma.

wastage of time plus resources. ndo mana nasema alikosa washauri.
Maana wengi wanaochemsha A level ndo husoma diploma
Binafsi hata ningepata division III ya kueleweka ni digrii tu sasa watu na div I & II eti diploma
 
Dokta gani unakua mvivu wakufikiri.Kwani ni lazima upitie njia hiyo.

Nenda Diploma.
Kijana amejieleza kistaarabu kabisa. Yeye ni mtoto wa maskini aliyetarajia kuchaguliwa kozi ambayo angelipiwa na serikali. Wewe unamjibu kibabe namna hiyo! Wengine wamemjibu vizuri wewe unaanza kulaumu. hiyo diploma utamlipia wewe? After all you dont have to comment if you are drunk!
 
Pole sana ndugu, watu wanakushauri uwende diploma ya clinical office nahisi vyuo vya serikali vitakuwa vimejaa. Lakin clinical office ni mzuri sana Kuna sister ang kaanza na clinical office baada ya kumaliza form six lakin alikaa mwaka 1 now day yuko muhimbili kabakiza mwaka 1 degree. Hakuna kukata TAMAA
 
Nakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"

Wazazi wangu ni maskini lakini hawakutilia shaka na uamuzi wangu.Walijitahidi kwa hali na mali ili nifikie ndoto yangu.Walilipa karo zangu za shule na hata pesa kwa ajili ya tuition.

Nilipofika A level nilijitahidi sana kwenye masomo yangu ya mchepuo wa PCB.Wazazi wangu hawakuwa nyuma kunipa msaada wa kimawazo na pesa pale ilipohitajika kunilipia tuition na kununua mavitabu makubwa kama BS,Chand,Nelkon na mavitabu mengineyo ingawa hali yao kiuchumi haikuwa nzuri.

Picha lilianza pale NECTA walipobadilisha gia kwa kupandisha grades tukiwa kwenye hatua za mwisho za kumaliza kidato cha sita.Lakini hilo halikunishtua sana nilijitahidi sana bila kukata tamaa ingawa sikusoma shule bora sana.

Matokeo yalipotoka sio haba nilipata Div 2.11 yaani DDC, nikajipa moyo kwamba nitachaguliwa medical school.Part two ya picha ilikuja pale TCU ilipovifungia baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa course za afya na kupunguza admission capacity kwenye vyuo vilivyobaki.

Nimepigwa danadana katika selections kutoka 1st round hadi 3rd round.Roho imeniuma pale nilipoona hata hii 3rd round haina vyuo za afya.

Nimebaki kushika tama, medical school ni jambo la kusikika tu kwangu.

Ndoto yangu tayari imeyeyuka.
Vyuo vipo vingi......hata THE AMAZON ni chuo mdogo wangu
 
Pole sana nawajua watu wengi kama wewe ambao ndoto zao zilizimwa na mfumo wa elimu ya bongo ilhali kiuhalisia Bado uwezo wanao.

System nzima ya elimu inabidi iwe overhauled
 
Nakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"

Wazazi wangu ni maskini lakini hawakutilia shaka na uamuzi wangu.Walijitahidi kwa hali na mali ili nifikie ndoto yangu.Walilipa karo zangu za shule na hata pesa kwa ajili ya tuition.

Nilipofika A level nilijitahidi sana kwenye masomo yangu ya mchepuo wa PCB.Wazazi wangu hawakuwa nyuma kunipa msaada wa kimawazo na pesa pale ilipohitajika kunilipia tuition na kununua mavitabu makubwa kama BS,Chand,Nelkon na mavitabu mengineyo ingawa hali yao kiuchumi haikuwa nzuri.

Picha lilianza pale NECTA walipobadilisha gia kwa kupandisha grades tukiwa kwenye hatua za mwisho za kumaliza kidato cha sita.Lakini hilo halikunishtua sana nilijitahidi sana bila kukata tamaa ingawa sikusoma shule bora sana.

Matokeo yalipotoka sio haba nilipata Div 2.11 yaani DDC, nikajipa moyo kwamba nitachaguliwa medical school.Part two ya picha ilikuja pale TCU ilipovifungia baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa course za afya na kupunguza admission capacity kwenye vyuo vilivyobaki.

Nimepigwa danadana katika selections kutoka 1st round hadi 3rd round.Roho imeniuma pale nilipoona hata hii 3rd round haina vyuo za afya.

Nimebaki kushika tama, medical school ni jambo la kusikika tu kwangu.

Ndoto yangu tayari imeyeyuka.

hata kampala umekosa au ulikuwa unataka tu muhimbili jibu hilo kwanza
 
Daaah pole dogo ila umepasua ingekuwa enzi zetu zile unakula na boom vzuri tyuu...dah kwel majira na nyakati vinabadilika by the way don giv up..
 
Mkuu huko ni kupoteza muda nchi haitabiriki hii, mwakani unaweza kuta utaratibu wa kujiunga chuo ukawa mgumu zaidi

Polee sana.

Ungeanza Diploma ila kutokana na ada zake kuwa kubwa sana na wewe umesema wazazi wako hawana uwezo nakushauri uvumilie kukaa mwaka mmoja then mwakani uapply upya.
 
Na mwakani vigezo vikibadilika atafanyaje? Hii nchi ya matamko anaweza mwakan akawa hana kabisa sifa za chuo acha huo udaktari

Bora tu aende fani nyingine kishingo upande

Mh pole mpendwa. Vumilia tu mpaka mwakani
 
Kijana we are on the same boat picha yako na yangu ni sawa kabisaaa ko nadhan tukubali matokeo ili tusiwavunje moyo wazaz waliojitowa hata kwa maombi tukafika hapa tukawe maticha2 udactar mungu akipenda tutaangalia miaka ijayo!
huu nao ukweli
 
Nakumbuka nilipokuwa mtoto watu wazima wakiniuliza,"ukiwa mkubwa unataka kuwa nani?" niliwajibu "nataka kuwa daktari kwani napenda nije kuwasaidia wagonjwa"

Wazazi wangu ni maskini lakini hawakutilia shaka na uamuzi wangu.Walijitahidi kwa hali na mali ili nifikie ndoto yangu.Walilipa karo zangu za shule na hata pesa kwa ajili ya tuition.

Nilipofika A level nilijitahidi sana kwenye masomo yangu ya mchepuo wa PCB.Wazazi wangu hawakuwa nyuma kunipa msaada wa kimawazo na pesa pale ilipohitajika kunilipia tuition na kununua mavitabu makubwa kama BS,Chand,Nelkon na mavitabu mengineyo ingawa hali yao kiuchumi haikuwa nzuri.

Picha lilianza pale NECTA walipobadilisha gia kwa kupandisha grades tukiwa kwenye hatua za mwisho za kumaliza kidato cha sita.Lakini hilo halikunishtua sana nilijitahidi sana bila kukata tamaa ingawa sikusoma shule bora sana.

Matokeo yalipotoka sio haba nilipata Div 2.11 yaani DDC, nikajipa moyo kwamba nitachaguliwa medical school.Part two ya picha ilikuja pale TCU ilipovifungia baadhi ya vyuo ambavyo vinatoa course za afya na kupunguza admission capacity kwenye vyuo vilivyobaki.

Nimepigwa danadana katika selections kutoka 1st round hadi 3rd round.Roho imeniuma pale nilipoona hata hii 3rd round haina vyuo za afya.

Nimebaki kushika tama, medical school ni jambo la kusikika tu kwangu.

Ndoto yangu tayari imeyeyuka.
Pole mkuu ila usikate tamaa bado.
 
pole sana mkuu... hi imetutokea wengi sio wewe tu chamsingi nikukaribishe kwenye hii taaluma ya ualimu maana taifa lina uhitaji wa walimu wa science
 
Watanzania wengi tunaishi nje ya ndoto zetu,,kumbuka wakati unapanga kuna Mkubwa anaekupangia pia hivyo usikate tamaa omba 3rd round utapata na kuja kufanikiwa zaidi sehemu uliyoomba na kupata tofaudi na MD uliyoitarajia.
 
Hairisha mwak kuna jamaa yang alipata hivy hivy kaja kuaply naw kapata bugando...so kama unaona mizinguo mpaka sa hiv kubal kukaa nyumban mwak tu...alafu huwa wanawaconsider sana
Mkuu ivi ukihairisha mwaka mwakani unapata priority ki vp
 
dgo unaweza kujarib mwakani kama utaona diplm n mizinguo. hii ilintokea mm mwaka jana nkajikuta natupwa had 3rd round alaf kuchek coz za afya hamna nikaona bora niweke education but nikasoma miez2 ya semister ya1 duu nikaona hamna kitu nafanya coz haikua lengo langu. thanks God nimeapply this yr na nimepata nlichokitaka
 
Back
Top Bottom