TCU wameshatoa undergraduate summary ya waliofanikiwa kuchaguliwa masomo ya shahada ya kwanza mwaka huu?

Lexus SUV

JF-Expert Member
Sep 16, 2016
4,208
5,146
Habari,

Just as the heading speaks, mfano press release ya TCU kuwa mwaka huu 2019/2020, waliochaguliwa kusoma shahada ya kwanza vyuo vyote ni wangapi?

Karibuni
 
Mbona unajistukia.. Mi najuaga summary inafanyika baada ya muda wa usajir na transfer kupita au labda wewe una TCU yako 😀
 
Back
Top Bottom