TCU wameshatoa guide book 2016/17?

TCU wameshatoa guide book 2016/17?

tutegemee kesho koz kama wamesema application ni j5 tarehe 20
 

Attachments

  • Screenshot_2016-07-17-19-26-35.png
    Screenshot_2016-07-17-19-26-35.png
    25.6 KB · Views: 72
Mkuu kwa sasa wanafabyia marekebisho baada ya kutoa zile minimum requirements! Itatoka nadhani kabla ya tar 20/07/2016

Kumbe ITATOKA na bado HAIJATOKA sasa nani muongo kati ya mimi na wewe...#KujuaKwingiMbeleKizaaaa
 
Kumbe ITATOKA na bado HAIJATOKA sasa nani muongo kati ya mimi na wewe...#KujuaKwingiMbeleKizaaaa
Naona unataka kubishana kwa vitu vya kitoto na huelewi Kiswahili. Inafanyiwa marekebisho lakini ilishatoka kabla.
 
Back
Top Bottom