TCU wameshatoa guide book 2016/17?

juliusJr

Senior Member
Jul 14, 2016
180
61
Habar za mchana wana jamvi mimi nilikua nauliza je TCU wameshatoa guide book kwa mwaka 2016/2017 na je tunalipia shilingi ngapi kuweza kuapply vyuo vikuu pliz naombeni msaada ndugu zangu wana jamiiforum
Nawasilishaa ahsanten
 
Application zitaanza tr 20/07/2016 be patient
 
Bado
1468769752753.jpg
 
Uongo wa mwendo kasi hawajatoa guidebook yao acha kudanganya umma
Mkuu wewe ndo muongo. Kwa sasa hiyo guidebook inafanyiwa marekebisho baada ya kutoa clarifications hivi majuzi. Usidhani wote tunakurupuka. Tuulize ambao tumeshafatilia na kuona. Wewe ndo muongo mkubwa kabisa.
 
Back
Top Bottom