Lung'wecha
JF-Expert Member
- Aug 20, 2014
- 927
- 575
simu zao hazipokelewi au hadi j3
Thanksnenda tcu kapeleke barua ya kuomba uondolewe kwenye system...inaonekana ww mwaka jana ulifanya application ...kurudia kufanya application upeleke barua tcu ya kuomba uondolewe kwenye system ili ufanye application upya...
pole sana nimeguswa sana na tatizo lako omba mungu utafanikiwa sio tatizo kubwa hilo
fuata tu procedure kila kitu kitakuwa powa
Ww unaonekana mwaka Jana uli apply ndio maana inakuletea hayo mambo....nenda TCU wakuondoe kwenye system ya nyumaMimi nimemaliza form six(6) Mwaka Jana 2015 lakini nikitaka kuaply chuo system ya TCU inanikataa naumia sanaa.
Inaandika ""prior admission found""
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
Wahi tcu, kama mwaka jana ulichaguliwa nenda kule chuo kuchukua baruaa ya uthibitisho kuwa haupo chuoni thn wapelekee wakutoe kwny system i did that b4Mimi nimemaliza form six(6) Mwaka Jana 2015 lakini nikitaka kuaply chuo system ya TCU inanikataa naumia sanaa.
Inaandika ""prior admission found""
Sent from my TECNO F5 using JamiiForums mobile app
Lyked ur idea!Hapo ndo utajua haraka haraka ina baraka