tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,855
- 1,117
Ku apeal inakuaje maana nimechaguliwa chaguo la hovyo
chaguo la hovyo?
Ku apeal inakuaje maana nimechaguliwa chaguo la hovyo
Niko pia ardhi mkuu, see u there
wakuu dizain flan kama kale kaujumbe cha wapi umechaguliwa wameutoa au?
Nathibitisha hili kaujumbe kamepotea
TCU wametoa selection zao kwa kila mtu kupitia profile yake. ingawa wengi wamechaguliwa kwa facult ambazo hawajaziomba. angalia kwenye profile yako ndani ya TCU then ingia kwenye "view my selection status"
ALL THE BEST GUYS:second:
Mbona have withdrawn the allocations!