Ibrashinto
Senior Member
- Jul 3, 2012
- 123
- 6
Usijari ntamtunza kwani yeye ametupiwa coarse gani mkuu
Namshukuru Mungu na wana jf wote hatimaye presha imeshuka nimechaguliwa ardhi bsc. In land management and valuation . Once again nawashukuru sana kwa taarifa.
medical doctor-kcmc
Ku apeal inakuaje maana nimechaguliwa chaguo la hovyo
iaa tunakujaaaaa jiandaen
TCU wametoa selection zao kwa kila mtu kupitia profile yake. ingawa wengi wamechaguliwa kwa facult ambazo hawajaziomba. angalia kwenye profile yako ndani ya TCU then ingia kwenye "view my selection status"
ALL THE BEST GUYS:second:
THANK LORD, THANK ALOT, I WILL PRAISE YOU FOREVER
You are Selected To Bachelor of Education in Arts at University of Dodoma
JAPO SIKUIOMBA
Safi kijana,ni jambo jema kumshukuru Mungu...
Thanks lord!!! Nimechaguliwa Pale Ardhi
Ku apeal inakuaje maana nimechaguliwa chaguo la hovyo
hahahahahaha hapa ni mwendo wa irrigation and water resources engineering paleeee sua!!!wapi lordville?