Nimeamua kuandika hili jambo muone ni jinsi gani wanavyuo tunavyo nyanyaswa na kulazimishwa kulipa malipo ambayo hayako uniform kwa maana kwamba badhi ya vyuo kama SUA, MKWAWA, UDSM na vingne vingi kutotambua hiyo pesa na hawalipi lakini chuo kama universty of Iringa (Tumaini) wakitakiwa kulipa tena kwa lazima kupitia account ya chuo. Hivyo imefikia hatua wakilipa tuition fees inakatwa kwanza hyo ya TCU unabaki unadaiwa.
Je, ndugu wa Tanzania hao wanao soma hicho chuo ni tofauti na vyuo vingne? Tunomba msaada kuhusu hilo.
We are aiming for betterment of our national
It's too painful kuhusu hilo swala.
Je, ndugu wa Tanzania hao wanao soma hicho chuo ni tofauti na vyuo vingne? Tunomba msaada kuhusu hilo.
We are aiming for betterment of our national
It's too painful kuhusu hilo swala.